Mimi ni msichana wa miaka 27, sijawahi kushiriki tendo la ndoa maisha yangu( am a virgin), sasa nimeanza mahusiano ya mapenz na tunapendana sana na mwenzangu. Tatizo sijui nina nini maana mara nyingi tukitofautiana mwisho mimi ndo naonekana nina makosa, naumia sana ninavymkosea kila mara na kwa upendo wake wa dhati ananisamehe, naombeni ushauri wenu nahisi kama kuna uwalakini kwenye haya mahusiano, may be ikitokea amekosea nifanyeje nisikasirike maan nina hasira sana.