Ushauri wenu: Nimefikiria nimeona nirudi shule kusoma. Nisomee nini wakuu?

Unajua hata mkenya naemiliki laki tatu huko kenya anaambiwa na wakenya wenzie kwamba laki tatu yako kwa tanzania una gari kali unapata " saaana"
Mkuu hongera sana kwa kuwa na idadi Kubwa ya D ambazo ni Nne ( 4 ) huku ukiwa na F moja tu. Una Sifa zote za Kujiunga katika moja ya hivi Vyuo Vikuu vitatu bora kabisa vya Havard nchini Marekani, Oxford nchini Uingereza na Haifa nchini Israel. Uko vyema mno Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari.mimi ni kijana wa kawaida nimemaliza form 4 miaka zaidi ya 7 huko nyuma,nimetanua weeee mtaani,ila sasa nimeona nijiendeleze kielimu lakini watu walionizunguka naona hawafiti kunishauri ndyo maana nimeona nije hapa.

Cheti changu kipo kama ifuatavyo.

MATH-F
HISTORY-D
ENGLISH-D
KISW-C
BIOS-C
CHEMIS-D
CIVICS-D
GEOG-C

Sasa hapa nilitaka nikasome afya lakini jamaa wananismbia nina mkia wa hesabu siwezi kuendele,wakuu nishaurini nikaongeze elimu,kwa kada ipi wakuu elimu muhimu japo sio lazima,mimi nimeona ni muhimu nikasome.

Nilikuwa nasoma dini ili watu kama kina kiranga na wana falsafa wengine wasiniyumbishe mana ukienda mtupu huko vyuoni mara unarudi kama kiranga,sasa nipo fiti nataka kusoma elimu dunis wakuu.

Ushauri wenu wadau mbali mbali humu akiwemo mams yangu mpeeeeeenzi FaizaFoxy na wengineo.

Na vipi suala la kurudia form four tenaa likoje,taratibu faida na hasara zake?

Asanteni nategemea majibu kutoka kwenu wasomi mbali mbali wa humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu daktari msaidizi (clinical officer) au mfamasia msaidizi (pharmacist assistant) kama unapendelea masuala hayo. Ya madawa ina hela na uwezekano wa kujiajiri mwenyewe kwa urahisi.

Hawezi kusoma mambo yoyote yahusuyo afya iwapo hajawahi kusoma physics unless iwe nursing.... Kwa mtiritiko wake hapo aiseee inabidi akarisiti angalau apate D ya Maths au anaweza kuanza certificate yoyote ya biashara kama business administration, marketing, human resources, procurement etc ingawa maths itamtesa sana huko ila akomae kweli kweli...kwenye afya aiseee kama yupo interested aende kusomea afya za wanyama sio binadamu ila pia anaweza somea mambo ya kilimo na ufugaji unalipa pia au mambo ya mazingira etc....
Kikubwa anene na nafsi yake anataka na kutamani kujiona akiwa nani miaka saba ijayo?! Nilitamani kujiona mchumi miaka ile na nikatimiza so juhudi na kua na maono tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo nilizoweka zinahitaji physics?

Nenda kasome pharmaceutucal dispenser mwaka mmoja ukitoka hapo fungua pharmacy maana mtaji unao, pili unajitambua, tatu mtaa unaujua, ....usisitishe mambo yako miaka takriban saba ukiwa masomon tuu utakuja uumie....
 
Soma
Habari.mimi ni kijana wa kawaida nimemaliza form 4 miaka zaidi ya 7 huko nyuma,nimetanua weeee mtaani,ila sasa nimeona nijiendeleze kielimu lakini watu walionizunguka naona hawafiti kunishauri ndyo maana nimeona nije hapa.

Cheti changu kipo kama ifuatavyo.

MATH-F
HISTORY-D
ENGLISH-D
KISW-C
BIOS-C
CHEMIS-D
CIVICS-D
GEOG-C

Sasa hapa nilitaka nikasome afya lakini jamaa wananismbia nina mkia wa hesabu siwezi kuendele,wakuu nishaurini nikaongeze elimu,kwa kada ipi wakuu elimu muhimu japo sio lazima,mimi nimeona ni muhimu nikasome.

Nilikuwa nasoma dini ili watu kama kina kiranga na wana falsafa wengine wasiniyumbishe mana ukienda mtupu huko vyuoni mara unarudi kama kiranga,sasa nipo fiti nataka kusoma elimu dunis wakuu.

Ushauri wenu wadau mbali mbali humu akiwemo mams yangu mpeeeeeenzi FaizaFoxy na wengineo.

Na vipi suala la kurudia form four tenaa likoje,taratibu faida na hasara zake?

Asanteni nategemea majibu kutoka kwenu wasomi mbali mbali wa humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kompyuta sayansi, Masomo ya teknolojia kwa sababu tupo ktk kipindi cha teknolojia, usisahau kusafisha hako ka F ka hesabu bi muhimu sana kwa mbeleni.Anza moja kwa moja ngazi ya nacte usiende kidat cha sita utapoteza muda
 
Hahaha unajua unapouliza watu ukasomee nini unatakiwa uwe na uwanja mpana wa kuchagua,sasa umefeli hivyo halafu unauliza kana kwamba umefaulu sanaa kwamba una weza kusoma chochote wakati sio. Labda kama entry requirements zimebadirika siku hizi huko vyuoni. Yani form four unamshauri akasome Clinical Officer kWELI? hamko serious nyie.
Kwa pass hizo akasome VETA tu. Mnalazimisha kwenda juu halafu Magufuli akiwafukuza mnalialia.
 
Hawezi kusoma mambo yoyote yahusuyo afya iwapo hajawahi kusoma physics unless iwe nursing.... Kwa mtiritiko wake hapo aiseee inabidi akarisiti angalau apate D ya Maths au anaweza kuanza certificate yoyote ya biashara kama business administration, marketing, human resources, procurement etc ingawa maths itamtesa sana huko ila akomae kweli kweli...kwenye afya aiseee kama yupo interested aende kusomea afya za wanyama sio binadamu ila pia anaweza somea mambo ya kilimo na ufugaji unalipa pia au mambo ya mazingira etc....
Kikubwa anene na nafsi yake anataka na kutamani kujiona akiwa nani miaka saba ijayo?! Nilitamani kujiona mchumi miaka ile na nikatimiza so juhudi na kua na maono tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana,na hili suala ls kurisiti ili niipste physics na hesabu likoje mkuu,wewe unalionajee mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma

Kompyuta sayansi, Masomo ya teknolojia kwa sababu tupo ktk kipindi cha teknolojia, usisahau kusafisha hako ka F ka hesabu bi muhimu sana kwa mbeleni.Anza moja kwa moja ngazi ya nacte usiende kidat cha sita utapoteza muda
Kusafisha kwa maana nirisiti mkuu su vipi?

Na jee unaweza kurisiti somo moja tuu kws kurudia mtihanii???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari.mimi ni kijana wa kawaida nimemaliza form 4 miaka zaidi ya 7 huko nyuma,nimetanua weeee mtaani,ila sasa nimeona nijiendeleze kielimu lakini watu walionizunguka naona hawafiti kunishauri ndyo maana nimeona nije hapa.

Cheti changu kipo kama ifuatavyo.

MATH-F
HISTORY-D
ENGLISH-D
KISW-C
BIOS-C
CHEMIS-D
CIVICS-D
GEOG-C

Sasa hapa nilitaka nikasome afya lakini jamaa wananismbia nina mkia wa hesabu siwezi kuendele,wakuu nishaurini nikaongeze elimu,kwa kada ipi wakuu elimu muhimu japo sio lazima,mimi nimeona ni muhimu nikasome.

Nilikuwa nasoma dini ili watu kama kina kiranga na wana falsafa wengine wasiniyumbishe mana ukienda mtupu huko vyuoni mara unarudi kama kiranga,sasa nipo fiti nataka kusoma elimu dunis wakuu.

Ushauri wenu wadau mbali mbali humu akiwemo mams yangu mpeeeeeenzi FaizaFoxy na wengineo.

Na vipi suala la kurudia form four tenaa likoje,taratibu faida na hasara zake?

Asanteni nategemea majibu kutoka kwenu wasomi mbali mbali wa humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifika shuleni huko soma hata gazeti tu mkuu, utakua tayari umesoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefikiria kwa muda,,nikaona upon serious,, binafsi nakushauri kasome kitu unachokipenda hata kama utaanza level ya certificate naamin utajituma zaidi kuliko kusoma course kwa kufata mkumbo Fulani kasema.... Na kama ni kozi za afya kwanza fahamu umepoteza nafasi ya kusoma vyuo vya serikali hivyo private zitakuhusu,,na courses nyingi wanahitaji uwe umesoma PHYSICS,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom