Ushauri wenu: Nimefikiria nimeona nirudi shule kusoma. Nisomee nini wakuu?

Mkuu umri wangu bado mdogo sana na nimeamua kusoma kwa sababu home nina uwanja wa nguvu tu soon naanza kujenga bila hata mkopo,so nashkuru Mungu kiasi nataka nikaongeze japo kadiploma tuu.

Miaka saba mbele sifiki hata 32,can you imagine there

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kama dot za umri haziconnect hapa..!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari.mimi ni kijana wa kawaida nimemaliza form 4 miaka zaidi ya 7 huko nyuma,nimetanua weeee mtaani,ila sasa nimeona nijiendeleze kielimu lakini watu walionizunguka naona hawafiti kunishauri ndyo maana nimeona nije hapa.

Cheti changu kipo kama ifuatavyo.

MATH-F
HISTORY-D
ENGLISH-D
KISW-C
BIOS-C
CHEMIS-D
CIVICS-D
GEOG-C

Sasa hapa nilitaka nikasome afya lakini jamaa wananismbia nina mkia wa hesabu siwezi kuendele,wakuu nishaurini nikaongeze elimu,kwa kada ipi wakuu elimu muhimu japo sio lazima,mimi nimeona ni muhimu nikasome.

Nilikuwa nasoma dini ili watu kama kina kiranga na wana falsafa wengine wasiniyumbishe mana ukienda mtupu huko vyuoni mara unarudi kama kiranga,sasa nipo fiti nataka kusoma elimu dunis wakuu.

Ushauri wenu wadau mbali mbali humu akiwemo mams yangu mpeeeeeenzi FaizaFoxy na wengineo.

Na vipi suala la kurudia form four tenaa likoje,taratibu faida na hasara zake?

Asanteni nategemea majibu kutoka kwenu wasomi mbali mbali wa humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera Sana BASHITE hataki kabisa kutafuta Cheti cha Form IV.
 
Hongera kwa uamuzi ulio chukua kurudi shuleni ila kwa mtazamo wangu si sahihi kutafuta ushauri juu ya maisha yako wewe kaa chini fikiria ni kipi unachokipenda zaidi huku ukilinganisha ufaulu wako

kuna wengine watakushauri vibaya bila kupambanua mwisho wa siku ukatumbukia katika shimo LA dunia lenye njaa kali na Giza Nene
Kama umeweza kuamua uamuzi sahihi wa kurudi masomoni then go ahead fikiria mwenyewe unapenda nini huku ukilinganisha na ufaulu wako!!
 
Nimechoka mkuu,nilisema nijiendeleze miaka mitatu nyuma ila nikaona raha kukaa kutanua tanua,ila kutahamaki miaka mi4 imepita nikasema ningekuwa nasoma saivi si nimepata hata kadiploma wakuu?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani lengo lako la kusoma hasa nini tofauti na watz wengi wanaosoma kutafuta ajira na kupanda vyeo
Kama vipi nenda ukasomee kile ambacho unahisi kitakusaidia na mitanuo ya kitaa
 
Mkuu tafadhali hizo fani za sayansi ni ksma zipi?
Mana hyo ndo ilikuwa hobbie yangu mambo ya sayansi hayo niliyapenda sana mkuu.

Nipe maujanja naweza ingilis wapi katika hayo mambo ya sayansi nahisi yananifaa.
Tulioko shule tunaambiwa elimu zetu hazitatupeleka popote bora turudi tukapige kazi mtaani mlioko mtaani mnataka kurudi shule hii kweli kasheshe

Ila me imani yangu rudi kasome na kwa matokeo yako kuna baadhi ya fani za sayansi unaweza fiti
Elimu uzuri wake ukiipata umeipata haiondoki tena

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa uamuzi ulio chukua kurudi shuleni ila kwa mtazamo wangu si sahihi kutafuta ushauri juu ya maisha yako wewe kaa chini fikiria ni kipi unachokipenda zaidi huku ukilinganisha ufaulu wako

kuna wengine watakushauri vibaya bila kupambanua mwisho wa siku ukatumbukia katika shimo LA dunia lenye njaa kali na Giza Nene
Kama umeweza kuamua uamuzi sahihi wa kurudi masomoni then go ahead fikiria mwenyewe unapenda nini huku ukilinganisha na ufaulu wako!!
Mkuu yani tokea enzi za shule nilikuwa napenda haya mambo ya afya (yaani sayansi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kidato cha nne ulimaliza kat y 2011 au 2012!!!

kasome mkuu utakuja kukosa fursa/michongo kizembe aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes mkuu nikiangalia miska inskatiks kama maskhara vile,japo niliomaliza nao aliyeajiriwa simjui japo wapo waliograduate,ila naona wacha nipoteze hata six years nikasome mpaka kuanzia miaka 32 hapo ntaanza kuwaza mambo mengine tuu wakati huo elimu ipo.

Mkuu mimi nimeona utawala ujao kutakuwa na firsa nyingi sanaa mkuu,ndo mana nataka kurudi.

Hivi suala la kurisiti tena form four unalichukuliaje mkuu????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa uamuzi ulio chukua kurudi shuleni ila kwa mtazamo wangu si sahihi kutafuta ushauri juu ya maisha yako wewe kaa chini fikiria ni kipi unachokipenda zaidi huku ukilinganisha ufaulu wako

kuna wengine watakushauri vibaya bila kupambanua mwisho wa siku ukatumbukia katika shimo LA dunia lenye njaa kali na Giza Nene
Kama umeweza kuamua uamuzi sahihi wa kurudi masomoni then go ahead fikiria mwenyewe unapenda nini huku ukilinganisha na ufaulu wako!!

huu ni ushauri mzuri..kudos.
 
Habari.mimi ni kijana wa kawaida nimemaliza form 4 miaka zaidi ya 7 huko nyuma,nimetanua weeee mtaani,ila sasa nimeona nijiendeleze kielimu lakini watu walionizunguka naona hawafiti kunishauri ndyo maana nimeona nije hapa.

Cheti changu kipo kama ifuatavyo.

MATH-F
HISTORY-D
ENGLISH-D
KISW-C
BIOS-C
CHEMIS-D
CIVICS-D
GEOG-C

Sasa hapa nilitaka nikasome afya lakini jamaa wananismbia nina mkia wa hesabu siwezi kuendele,wakuu nishaurini nikaongeze elimu,kwa kada ipi wakuu elimu muhimu japo sio lazima,mimi nimeona ni muhimu nikasome.

Nilikuwa nasoma dini ili watu kama kina kiranga na wana falsafa wengine wasiniyumbishe mana ukienda mtupu huko vyuoni mara unarudi kama kiranga,sasa nipo fiti nataka kusoma elimu dunis wakuu.

Ushauri wenu wadau mbali mbali humu akiwemo mams yangu mpeeeeeenzi FaizaFoxy na wengineo.

Na vipi suala la kurudia form four tenaa likoje,taratibu faida na hasara zake?

Asanteni nategemea majibu kutoka kwenu wasomi mbali mbali wa humu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hongera sana kwa kuwa na idadi Kubwa ya D ambazo ni Nne ( 4 ) huku ukiwa na F moja tu. Una Sifa zote za Kujiunga katika moja ya hivi Vyuo Vikuu vitatu bora kabisa vya Havard nchini Marekani, Oxford nchini Uingereza na Haifa nchini Israel. Uko vyema mno Mkuu.
 
Hongera kwa uamuzi ulio chukua kurudi shuleni ila kwa mtazamo wangu si sahihi kutafuta ushauri juu ya maisha yako wewe kaa chini fikiria ni kipi unachokipenda zaidi huku ukilinganisha ufaulu wako

kuna wengine watakushauri vibaya bila kupambanua mwisho wa siku ukatumbukia katika shimo LA dunia lenye njaa kali na Giza Nene
Kama umeweza kuamua uamuzi sahihi wa kurudi masomoni then go ahead fikiria mwenyewe unapenda nini huku ukilinganisha na ufaulu wako!!
Mkuu kuna kozi ya laboratory nimeulizia naskia hawachukui asiye na physics na hesabu japo D,sasa mkuu hivi unanishaurije kuhusu kurisiti ili nirekebishe?

Wewe unalionaje suala la kurisiti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom