Ushauri wenu: Nimefikiria nimeona nirudi shule kusoma. Nisomee nini wakuu?

Kijana kijana

JF-Expert Member
Mar 11, 2018
2,546
2,616
Habari.mimi ni kijana wa kawaida nimemaliza form 4 miaka zaidi ya 7 huko nyuma,nimetanua weeee mtaani,ila sasa nimeona nijiendeleze kielimu lakini watu walionizunguka naona hawafiti kunishauri ndyo maana nimeona nije hapa.

Cheti changu kipo kama ifuatavyo.

MATH-F
HISTORY-D
ENGLISH-D
KISW-C
BIOS-C
CHEMIS-D
CIVICS-D
GEOG-C

Sasa hapa nilitaka nikasome afya lakini jamaa wananismbia nina mkia wa hesabu siwezi kuendele,wakuu nishaurini nikaongeze elimu,kwa kada ipi wakuu elimu muhimu japo sio lazima,mimi nimeona ni muhimu nikasome.

Nilikuwa nasoma dini ili watu kama kina kiranga na wana falsafa wengine wasiniyumbishe mana ukienda mtupu huko vyuoni mara unarudi kama kiranga,sasa nipo fiti nataka kusoma elimu dunis wakuu.

Ushauri wenu wadau mbali mbali humu akiwemo mams yangu mpeeeeeenzi FaizaFoxy na wengineo.

Na vipi suala la kurudia form four tenaa likoje,taratibu faida na hasara zake?

Asanteni nategemea majibu kutoka kwenu wasomi mbali mbali wa humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndipo unapopigia mstari msemo wa ukishindwa maisha rudi shule.
Mkuu shule muhimu sana.

Watu wamekata tamaa ya kusoma utawala huu wanadai hakuna ajira,na mimi nimeona hyo ni nafasi yangu kurudi shulee kujiendeleza najua akimaliza miaka yake 10 na mimi nimeelimika na huwenda nikawa hata na kadigirii,au siyo mkuu?

Nishairi sasa.

kasomee kilimo na mifugo au misitu
 
Mkuu shule muhimu sana.

Watu wamekata tamaa ya kusoma utawala huu wanadai hakuna ajira,na mimi nimeona hyo ni nafasi yangu kurudi shulee kujiendeleza najua akimaliza miaka yake 10 na mimi nimeelimika na huwenda nikawa hata na kadigirii,au siyo mkuu?

Nishairi sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shule ni muhimu ndio lakini Elimu ya kwetu ni upotezaji wa Muda, utamaliza upate hiyo degree yakokwa hesabu zangu utakuwa na miaka zaidi ya 35 utakapoanza kulipwa Laki 7 ndipo utajua thamani ya muda.
 
Mkuu umri wangu bado mdogo sana na nimeamua kusoma kwa sababu home nina uwanja wa nguvu tu soon naanza kujenga bila hata mkopo,so nashkuru Mungu kiasi nataka nikaongeze japo kadiploma tuu.

Miaka saba mbele sifiki hata 32,can you imagine there

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo Kuu la Elimu ni ili uwezo kupambana na mazingira unayoishi, nikimaanisha kwamba iweze kukufanya Uishi maisha bora kuufahamu Ulimwengu na namna ya kuufanya uwe Salama zaidi kwako.. Kuna kwenda shule kupata Cheti ili uonekane umesoma na kuna kuelimika.. Kama umeshaelimika kwa maana ya elimu uliyonayo inakusaidia kuendesha maisha yako vizuri hakuna haja ya kupoteza muda ila Kama Unahisi bado hujaelimika na bila hiyo elimu mambo hayatoenda sawa rudi shule Mkuu.. Ni huyo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulioko shule tunaambiwa elimu zetu hazitatupeleka popote bora turudi tukapige kazi mtaani mlioko mtaani mnataka kurudi shule hii kweli kasheshe

Ila me imani yangu rudi kasome na kwa matokeo yako kuna baadhi ya fani za sayansi unaweza fiti
Elimu uzuri wake ukiipata umeipata haiondoki tena

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari.mimi ni kijana wa kawaida nimemaliza form 4 miaka zaidi ya 7 huko nyuma,nimetanua weeee mtaani,ila sasa nimeona nijiendeleze kielimu lakini watu walionizunguka naona hawafiti kunishauri ndyo maana nimeona nije hapa.

Cheti changu kipo kama ifuatavyo.

MATH-F
HISTORY-D
ENGLISH-D
KISW-C
BIOS-C
CHEMIS-D
CIVICS-D
GEOG-C

Sasa hapa nilitaka nikasome afya lakini jamaa wananismbia nina mkia wa hesabu siwezi kuendele,wakuu nishaurini nikaongeze elimu,kwa kada ipi wakuu elimu muhimu japo sio lazima,mimi nimeona ni muhimu nikasome.

Nilikuwa nasoma dini ili watu kama kina kiranga na wana falsafa wengine wasiniyumbishe mana ukienda mtupu huko vyuoni mara unarudi kama kiranga,sasa nipo fiti nataka kusoma elimu dunis wakuu.

Ushauri wenu wadau mbali mbali humu akiwemo mams yangu mpeeeeeenzi FaizaFoxy na wengineo.

Na vipi suala la kurudia form four tenaa likoje,taratibu faida na hasara zake?

Asanteni nategemea majibu kutoka kwenu wasomi mbali mbali wa humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Somea ubunge unalipa sana
 
Back
Top Bottom