Ushauri wenu ndugu zangu, kwenye mkasa huu ulio mbele yangu

Uyo nakushauri mwache aendelee na maisha yake tu ni msaliti, mwanamke mzinzi sio. Wa kuendelea nae ata kwenye ndoa ata chepuka tu chakufanya ongea na mama yake mwambie binti yako kanishinda kafikia steji mpk ya kutoa mimba, alafu pia uyo alikua ashakuacha kama yule bwana aliempa mimba angekua ana mjali baada ya kuona hapati upendo wowote wala care akaamua arudishe majeshi kwaio usifanye maamuzi ya kua nae Muombe mungu akuoneshe mchumba atakaye kufaa
asante mkuu kwa ushauri wako, ubarikiwe
 
Kifupi ni kuwa katika mahusiano yao jamaa ndo anaonekana anafaidika na hayo mahusiano japo yeye anajinasibu kuwa wanapendana sana kumbe yeye ndo anapenda sana
 
Na wewe unamjibia kama nani umeombwa?

Ngoja nikukaushie tu, maana sijawahi kukwaruzana na wewe!

Sijakuona muda, nilitafuta jinsi ya kukusalimia na kukukaribisha tena.

It's odd mtu anaomba ushauri halafu akiombwa ufafanuzi hatoi.

I hope uko powa.
 
siku ukigundua kua dunia ina watu BILLION 7 utaacha kujiuliza maswali mengi juu ya kenge mmoja....
 
Sijakuona muda, nilitafuta jinsi ya kukusalimia na kukukaribisha tena.

It's odd mtu anaomba ushauri halafu akiombwa ufafanuzi hatoi.

I hope uko powa.
Ha ha haa

Kwahiyo salamu yako ni kichambo ehh?

Haya bwana nimekumisimo

Anaboa hajibu maswali kakazana " Asante nashukuru
 
Ukweli binti kausema,lakini bado huamini,ni kwa kuwa umezidiwa na upendo. Sasa unadhani ni nani atakuambia ukweli unaoutaka?
Chukua maamuzi kutokana na maneno yake aliyokuambia,uendelee au uache. Cha msingi ni kuacha au tulia usioe kwanza,mwambie umeahirisha alafu mchunguze kuanzia hapo.
Hakupendi hajawahi kuwa na hakika kuwa wewe ndiye chaguo lake,yaani mme. Pengine shinikizo la ndugu zake na maonyo ndio anajisukuma kwako.
Kama anaujasiri wa kusema alitembea na mtu na kupata ujauzito alafu ameutoa (hakupendi ila anataka hio ndoa sasa)
 
Ha ha haa

Kwahiyo salamu yako ni kichambo ehh?

Haya bwana nimekumisimo

Anaboa hajibu maswali kakazana " Asante nashukuru

Yaani nilivyoona posts zako nikasema huyu ngoja nitafute namna ya kumsalimia.

Huyu jamaa kila ushauri anasema asante nashukuru, kwa hiyo tuendelee kutoa ushauri tu.
 
mkuu napokea ushauri wa kila mmoja, nisiposhukuru utasema nipo kimya, nikishuru nayo ni kosa mkuu, sorry kama nimekukwaza sehemu
 
Kuna maswali wadau wanakuuliza ili utoe ufafanuzi ila umewakaushia.

Umeomba ushauri ila hutoi ushirikiano kwa washauri.
 
Mabinti wa kisasa hawakufundwa namna ya kuheshimu mwanaume na mahusiano ndio maana unaonankila uchao wanalialia kuumizwa na wengi wanaishia kupigwa ujauzito na kuishia kusikojulikana.

Kwa kifupi huyo binti hajakomaa kiakili. Kwa mawazo yake anahisi alikuwa anakupima akuone reaction yako na msimamo wako kwamba akikufanyia lolote utabakia nae kuvumilia akili zake mbovu ama vipi.

Ukisema umuelewe katika hili na uendelee nae amini nakwambia atakufanyia vituko zaidi huko mbeleni hautaamini sababu tu ulikubali akufanyie michezo ya dharau za wazi wazi na ukamuachia.

Kwa experience yangu huyo binti hajapevuka kulingana na mazingira ya kisasa ya jamii ya kileo yanavyowashape mabinti.

Unapoona binti anaamua kufanya vituko na mizaha kwako wakati wewe upo serious nae ni wazi kuwa hakuheshimu, hakuamini kwamaanabya kukubali kutoka moyoni kuwa wewe ni wake na tatu ni kuwa huyo binti inawezekana kutokea katika familia yao hawapo serious katika kumuandaa kuwa mke wa mtu.

Huyo hata akienda huko chuo tegemea atagawa sana sababu hayupo serious na mahusiano.

Unaonekana ni kijana smart na upo organized. Mimi nakushauri kwa sasa weww focus na shughuli za maendeleo. Una mengi ya kufanya ambayo yanahitaji uwekezaji wa hali ya juu wa akili yako na utulivu wa moyo usipoteze energy yako kufurahisha mtu ambae amechagua kukuona wewe kama kituko na mzaha.

Ukianza kuendekeza mahusiano kama hayo na huyo binti utashangaa unafeli maisha yako na yeye anapita na mtu mwingine sababu hakuheshimu, hakujali, na hana malengo ya mbele na wewe.

Muache na usichana wake aendelee kuhangaika na hii dunia inayompa kiburi ipo siku yake atakujia na ushuhuda.

Achana fanya maisha yako. Huo umri kwa mwanaume ndio wakati wa mavuno ya mema ya hii dunia. Tumia hii miaka michache kujiimarisha kifedha na kiuchumi. Ukishakuwa stable kwa viwango stahiki anza kutafuta mwanamke ambaye atatulia na wewe.

Zamani ilikuwa ukikaa na mwanamke muda mrefu, akaona mapito yako n ajitihada zako hadi unafanikiwa anakuheshimu na anaogopa kuwa mbali na wewe na anakulinda.... Ila sikuhizi ukikaa na mwanamke muda mrefu akakuona hustle zako ukishafanikiwa anakuwa na madharau na kutaka kukushusha maana anaona kama yeye unamuona amechuja na utataka chuma kipya zaidi yake na hapo ataanza figisu of which its not the case kwetu wanaume.....

So jiimarishe then utajipitia binti mpya na huyo haina haja ya kuleteana habari za it might be you. Wewe ukikamatia mfanyie interview akipita piga goti, jaza fomu, tangaza nia, nenda kwa padre piga kufuli, weka ndani tia mimba anza familia......... Hizi takataka zinazoendekeza michezo achana nazo.....
 
Ulimkuta akiwa ni bikira? Aliyempa mimba alikataa na ilikuwaje mpaka akatembea naye na mara ngapi?
Nenda kwa family yake na waeleze kuwa kuwa una achia ngazi and you will only remain as a family friend.
Hamna cha mimba wala nini hapo. Hawa mabinti unajua wanakuwaga na vimichezo vya sekondari kuwa namna ya kupima kuwa mwanaume anakupenda ni kumwambia una mimba ili uone reaction yake kama atasema mtoe, atakuacha au atakubali mlee ujauzito.

So huyu demu alikuwa anampima muhusika imani yake..... Na shida ndipo ilipoanzia. Sasa ukicheka na nyani utavuna mabua.

Huyu binti hana adabu kinachotokea ni kuwa anampima mshikaji kupitia michezo so jamaa inabidi akaze kibabe.
 
nimekuelewa sana sana mkuu, ubarikiwe sana
 
ubarikiwe sana mkuu.
 
Ebu fanya hizi kama tangu ametoa mpaka Sasa haijazidi mwezi chukua kipimo Cha mimba umpime Kama alikua na mimba kweli na mwez haujapita tangu atoe itasoma imo
Ukishapata uhakika utajua ufanye nn
 
Hiyo yote ifanyike iki kuvumbua kitu gani kwa mfano?! Umeshajua mtu ni msaliti mbaya zaidi amekwambia mwenyewe kwa kinywa chake, unataka kuprove nini zaidi.
 
Hamna cha mimba wala nini hapo. Hawa mabinti unajua wanakuwaga na vimichezo vya sekondari kuwa namna ya kupima kuwa mwanaume anakupenda ni kumwambia una mimba ili uone reaction yake kama atasema mtoe, atakuacha au atakubali mlee ujauzito.

So huyu demu alikuwa anampima muhusika imani yake..... Na shida ndipo ilipoanzia. Sasa ukicheka na nyani utavuna mabua.

Huyu binti hana adabu kinachotokea ni kuwa anampima mshikaji kupitia michezo so jamaa inabidi akaze kibabe.
Sam kama Sam
 
Back
Top Bottom