Kuwachana niliwachana aiseee hiyo sikubakisha neno kwakweli na ndo ugomvi ukawa na mke pia.Kujipendekeza kote ukweni huko lkn bado huna thamani,hapo utakuta hata mama yako mzazi hujawahi kumnunulia hata doti moja ya kanga,ila ukweni ushatoa million 12 na matusi ju.
Mimi ningewachana live na binti yao ningemwambia achague kati yangu mimi au wazazi .
Wao Wakorofikorofi mzee halafu sisi kwetu mwenye fujo pekeyangu, wazazi wote wanasema hasara ndogo Sana toa sadaka sahau.. Sina support ya kudai na sitaki kuendelea kuongea nao mzeePumbavu wangenilipa pesa zote kima hao
Wachaga tena!? Huyo naye ni Mzee Mushi au?
Pole Sana mkuu, mm angalau nimeweza kubaki na mke na watotoDa mm niliyumba sana na hiyo kitu
Ipo siku utakutana na papuchi hutasikia la mamako, Wala la mchungaji, time will tell siku utakayokutana na mtakayekuwa na chemistryYaani mie kitu cha kwanza kabisa nitakachomwambia wife to be ni fungu linaloenda home kwa bi mkubwa ni hili na hapo hamna mjadala.
Ikitokea mtafaruku kati yako na bi mkubwa na inabidi nichague ujue ni wewe ndio utakae fungasha vilago.....papuchi zipo kibao.
Ni ujinga kwenda kunufaisha watu baki wakati wazazi waliokulea na kukuandaa mpaka huyo mlimbwende amwkubali kuolewa na wewe unawaacha hoi....watu wa namna hiyo siwaelewagi kabisa.
Mwanangu ndo Kwanza nilikuwa na madogo wa kiume wawili bado wadogo, hao ndo walikuwa wananipa mawazo, nataka kuwalea niwe nao mzeeUliingizwa chaka...hata hivyo una moyo
Ipo siku utakutana na papuchi hutasikia la mamako, Wala la mchungaji, time will tell siku utakayokutana na mtakayekuwa na chemistry
Mm pia japo inahitaii kuplay safe game sababu, watoto wanapaswa kujifunza mema kutoka kwenye hizo reaction. Pia niliwon. Hongera champsPole Sana mkuu, mm angalau nimeweza kubaki na mke na watoto
Wewe wasema tu hapa utatengenezwa tu vizuri uende kibla kiulaini bila nguvu, never say never oooh Kuna walio kuwa wagumu wamenyookaHamna lolote....upumbavu tuu kusahau ulipotoka.....kitu kimoja u shuld always remember ni kwamba....huyo mke wako kakukubalia kwa sababu wazazi wako ndio walikuandaa.....ata mie nitamuoa huyo mrembo kwa sababu wazazi wake wamemuandaa.
Na ndio maana mie sitakuwa na tatizo lolote mke akiamua kupeleka hela yake yote kwao apeleke but pia asiulize mie nikihudumia upande wangu.
Wewe wasema tu hapa utatengenezwa tu vizuri uende kibla kiulaini bila nguvu, never say never oooh Kuna walio kuwa wagumu wamenyooka
Mkuu sikuwa mshamba wa mapenzi Kama ndo unachomaanisha, nilikuwa nsharuka ruka sanaaa halafu nikakutana na mtoto mbichiii nikakaa, miaka mi5 baadae ndo naoa, hapo Kati mapenzi yalikuwa yanatiririka tu bila matatizo yoyote yani ilikuwa tu lazima nioee mkuu hata bila kujali hali ya kwao! Sisi wawili tuko fresh sanaTatizo umeona mwanamke ukaona huyu ni mke halo halo, bila hata kujiridhisha familia yake ikoje.
Kuoa si habari ya watu wawili tu, ni muunganiko wa familia mbili.
Kwa lipi zaidi mkuu?Mkuu, mimi nimekukasirikia sana.....
Samahani lakini