Ushauri wenu kuhusu huyu ndugu

Tafuta mume naye atatamani kuolewa kwa hiyo nyumbani kutabaki shwari kuu na mama ataenjoy life.
Kama bado huna mume/basha karibu Mikocheni B kwenye upepo wa kisulisuli huwezi kosa kamwe!!
 
wazazi wamemuangaikia sana madawa yakila aina na sio siri inajulikana,nabado tatizo lipo
Labda ndio inapelekea hzo shida zote anazofanya ,hajakubali tatizo lake and hasira na Kila m
Mtu na Kila kitu
 
Ndugu nakushauri kama kaka yako,nakuona una roho ya kujiona unajua sana sijui ni hiyo elimu uliyonayo. Huwezi kumsema mama yako mzazi hivyo. Wewe unafikiri inahitajika elimu kiasi gani kuweza kumlea mtu. Kwa taarifa yako mama yako anatumia hekima sana kuhandle hiyo situation hapo nyumbani. Naona hata wewe ni janga,unataka mama yako amtenge kaka yako ahamishe mapenzi kwako
nmeshangaa sana aisee alivyomsema mama ake narudia kusoma kila saa nabaki nashangaa tu
 
Umejuaje jogoo hawiki ?
habar wakuu, ushauri wenu tafadhali

nina ndugu yangu wa damu kabisa katika familia yetu tupo watatu wakike kaolewa, wapili ndio yeye nawamwisho mimi, nakwasasa nina miaka mitano hatuongei kwakuwa tuligombana kwasababu yatabia zake zakishenzi, pia nyumbani inatambulika mimi simpendi na nayeye hanipendi

yani yeye tangu mzee yupo hai alikuwa mtu wa hovyo sana mzee alikuwa anajitahidi sana kumpa mitaji yabiashara yani yeye wiki tu ameshauwa kila kitu, kwamwaka anaweza akapewa mtaji zaidi ya mara 20 nakuuwa tu.

lakini sasa tangu mwaka jana mzee afariki mama ndio amekuwa amechukua jukumu ilo anampa mtaji lakini bado vile vile, anakaa nyumbani, kwasasa hataki kujishughulisha na shughuli yoyote, anakaa tu nyumbani mda wote anaangalia tv akiomba hela kwamama anataka lazima apewe, mama akisema sina matusi yanaanza nispokuwepo nyumbani hapo hadi mimi siponi, anaanza_ unamuendekeza sana mwanao uyu, mimi sithaminiki humu ndani nmeomba sh elfu 10,000 tu nanyimwa lakini unamuendekeza sana mwanao, ukija kufa atapata shida sana na simpendi.

maneno mengi mpaka mama ata kama hana itabidi atoe tu hiyo hiyo, anasababisha matatizo anazulumu watu anafanya vituko nyumbani, kwasababu mama mpole analipa tu looooh ! nmekelwa na tabia zake , kwasasa anamiaka 32 namimi ni miaka 20 tu na mimi niwamwisho kwetu.

kwasasa naona chuki imezidi sana, ananichukia hadi mimi najishtukia najua anaweza kufanya lolote kwangu ili anione napata shida ata nkikaa home nakuwa makini sana na akiniona mimi anajua sipendi upumbavu anapoa sana lakini nispokuwepo anamtesa sana anamtesa sana mama mpaka mama anafika hatua anasema uyu mtoto analaana

ushauli wenu wadau uyu mtoto wakiume anamiaka 32 ataki kufanya kazi, akipewa mtaji anahonga, analewa kipumbavu nakwasasa nimlevi sana akipewa hela yeye kulewa na anapenda sana wanawake alafu JOGOO HAWIKI, kazi hataki. afanyweje uyu ? anataka nnachopewa mimi nayeye apewe imefikia hatua mama anamuangalia sana yeye kuliko mimi na bado hapendi uwepo wangu. mimi nibado mwanafunzi
ushauri wakuu

asanten.
 
ID yako ya zamani ni ipi ?

Rahisi mno, chonga na rafiki hata Kama yupo kigoma mweleze senario yote asafioishwe kwenda huko akatiwe nauli tu ya kula kidogo akifika huko apigishwe kazi fedha atuziwe hapo akili itamkaa.au chonga na wajomba wamwite kuwa kuna dili atakwenda ili mpumue
 
Komaa na shule dogo.

NB: Omba pesa ya tuition ujifunze namna Bora ya uandishi. Maana huna nukta wala mkato.

Back
Top Bottom