- Thread starter
- #61
mimi kama mimi itakua ngum kuwaambia labda nitumie wazee wenye busara wawaanzie mbali kabla yakuwaambia chochote.Huwezi kuepuka madhara..ingawa ukweli utakuweka huru, ongea na wazazi wako.
mimi kama mimi itakua ngum kuwaambia labda nitumie wazee wenye busara wawaanzie mbali kabla yakuwaambia chochote.Huwezi kuepuka madhara..ingawa ukweli utakuweka huru, ongea na wazazi wako.
najuta sana mkuu bt kinachoniumiza sana nawaza mwisho wa jambo hili utakuwaje, maana shangazi anaweza kasirika na kutoa maneno mbovu kwa kusema "umediriki kunilala ukavunja miiko yetu" na hapo ndo timbwili litaanzia pia hofu nyingine inatokana na vile mashngaz wengi wakiwa na vinyongo anaweza kukulaani kimya kimya na hapa ndo nadata kabisa mkuu.nyege....hazijawahi kumuacha mtu salama...nina amini unajuta sana hapo ulipo...ila usisahau kuwa maji umeshayavulia nguo hayo
kwa navyowajua wale wazee wangeshajua wangeshakisanua zamani mkuuMpaka wamempatia mwanao jina lako maana yake walijua na wakakutangulia mbele kifikra maana waliona mbali sana kuliko wewe
Maisha yako hivi; pale mtaani unako ishi unaweza ukaibiwa TV yako nzuri na kubwa mchana kweupe kabisa na ukalalamika kila ukiuliza utaambiwa hakuna alie muona mwizi
Likini usiku ukaingiza mke wa mtu kwako na mkafanya yenu watu watajua tu maana wanasema hata majani yanaona
wazee wale ni watata sana mkuu laiti wangejua ingeshakua noma, jambo hili halinitesi mimi pekee bt hata binam pia hua tunajiwazia mambo yakijulikana tutaweka wapi nyuso zetu mbele za wana ukoo?[SUP]Waliompa jina lako wanajua wewe ndo Baba wana Ku enjoy tu[/SUP]
ukiwaza negatively ni ngum sana kusaidika mkuu, huku kidogo kuna uficho na nirahisi kusaidika, kama kuna ndugu basi itakua emergency isiyoepukika.Imagine kuna ndugu yako humu kasoma hii siri yako anaunga madoti tu sasa hivi
nitafanyia kazi ushauri wenu na nitaleta mrejesho.Nawaza tu mfano huyo mtoto aje kulana na mwanao wapeane na mimba pia maana si anajua we ni mjomba hivyo atajua ni binamu yake,,
Bora tu ijulikane we ni baba,sawa itakuwa aibu ila mwisho wa siku watazoea na wewe utazoea tu maisha mengine yataendelea
Endeleeni tu kukaa na hiyo siri chief, ningekua na ushauri tofauti kama ungekua hujaoa na yeye hajaolewaushauri wako tafadhali
kuna ushauri huu nilipewa je unafaa? niliambiwa niitishe kikao cha familia yangu nikiwa na wazee wengine hata wa 3 then niwaeleze then wakipanic wale wazee ndo wasawazishe mambo.Tafuta hela mkuu,
Tembeza hela kwa watata wote wa familia,jifanye mwema sana kwao,wape misaada ya nguvu,fanya hivi kwa miezi kama 3 mpaka 6 kisha mwaga siri kwa gia ya kuomba msamaha na kutubia,
Mwenye hela hua hanuniwi hata siku moja.
Kabla ya kufanya kikao chochote hakikisha unatengeneza mazingira mazuri kwanza,ndio maana nikakwambia mwaga fedha ili kujitengenezea njia,kuna ushauri huu nilipewa je unafaa? niliambiwa niitishe kikao cha familia yangu nikiwa na wazee wengine hata wa 3 then niwaeleze then wakipanic wale wazee ndo wasawazishe mambo.
je, naweza tumia njia hiyo ikafaa?
sawa mkuuKabla ya kufanya kikao chochote hakikisha unatengeneza mazingira mazuri kwanza,ndio maana nikakwambia mwaga fedha ili kujitengenezea njia,
Penye udhia pitisha rupia.
jamaa bhana! umesema "mila yenu hairuhusu kuoa." sawa.... je! kuzaa?Natumai hamjambo wakuu.
Miaka 7 iliyopita nili-date na binamu yangu, bahati mbaya alipata ujauzito nikamtaka autoe akakataa katakata. Nilimtaka autoe sababu mila zetu haziruhusu mahusiano ya kimapenzi na binamu, nyumbani aliwaambia aliyempa mimba ni mtu wa mbali ambaye walikutana shule na hawana mawasiliano tena.
Baada ya kukataa kuitoa ilibidi tufanye kiapo cha kutunza siri ili tusije leta ugomvi katika familia, alipojifungua mtoto alifanana na mimi kila kitu, wazazi wake wakaamua kumpa jina langu eti kafanana na mjomba ake.
Mila zetu zinasema ukilala na mtoto wa shangazi/mjomba ni sawa na kulala na shangazi/mjomba wako, na hapa ndo panaleta ugumu wa suluhu wa hii siri ya muda mrefu.
Wakuu nawaombeni kwa busara zenu mchangie mawazo ambayo huenda yakazaa suluhu ya jambo hili kwa hekima bila kuleta mtafaruku kifamilia.