Natumai hamjambo wananzengo.
Huu ni mwezi wa pili sasa nikiwa na sintofaham ya kufanya maamuz juu ya jambo hili, hivo nimeamua kuwashirikisha ili nipate maamuzi sahihi.
Ipo hivi kuna binti mmoja mwenye 24 years alimtuma rafiki yangu kua kapendezwa na upole wangu hivo anahitajia nimuoe hata kama tayari nina mke, mwanzo nilichukulia utani bt baada yakukutana nae ndo nikaamini kua yupo seriousa.
Hiuhalisia mke wangu ana wivu sana wala hatakagi kabisa kusikia habari za mke wa pili hivo nawaza jambo hili litakavyoiathiri ndoa yangu.
Upande wa pili huyu binti ni wife material na amekua akimtuma rafik angu zawadi mbali mbali daily, sasa wananzengo naombeni sana hekima zenu katika jambo hili ili nipate maamuz bora.