USHAURI WENU JAMANI MM MUHITIMU YA KDATO CHA NNE 2018 mchepuo wa sayansi

Og epysam

Member
Jul 14, 2019
42
20
ufaulu wangu ni 3, 22
bios,C,geo,C,chem,C,iCt,C,kisw,C,civic,C, phys,D,hist,D,Eng,D,matH,D nilichaguliwa uwalimu wa physic& bios but nahitaj kuchukua clinical medicine, naombeni ushuauli
 
Achana nayo hata kama ukipata utaenda kupata tabu huko mbeleni fani hizo zinaangalia ufaulu kuliko hata uelewa wa mtu au ujuzi usijisumbue
 
Back
Top Bottom