Developer IOS
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 1,457
- 1,409
Habari wakuu,
Tanzania inaongozwa na serikali ya chama cha mapinduzi chini ya mwenyekiti wa chama cha mapinduzi hivyo nchi inaogozwa kwa ilani ya chama cha mapinduzi ilani ambayo walio wengi waliipigia kura na kuipitisha kuwa inafaa kwa kipindi cha miaka mitano kuwa dira yetu ya kutufikisha katika maendeleo tunayoyataka na ndio inatuletea maendeleo hivi sasa.
Hivyo basi, ili kufikia maendeleo ya kweli watendaji wanapaswa kuimba wimbo mmoja na kwenda njia moja na kushikamana pamoja.
Na watendaji wakubwa katika nchii hii ni watumishi wa umaa ambao kazi yao kubwa ni kuwatumikia wananchi kwa kutoa huduma juu ya maswala yanaowagusa direct wananchi hivyo wanao wajibu mkubwa sana wa kuisoma ilani ya CCM ili kujua sera ya nchi kwa kipindi cha miaka mitano katika sekta husika na kutekeleza nini sera inataka pia wanao wajibu wa kuitangaza sera ili wananchi watambue yanayofanyika yametoka wapi.
Hii itawezesha wananchi kutambua kazi nzuri inayofanywa na serikali yao hivyo kuwa-encourage kulipa kodi kwani wanakuwa na assurance ya matumizi mazuri ya kodi zao.
Na watumishi watakaoshindwa kutekeleza hili wanapaswa kuchukuliwa hatua kama wazembe kwa kushindwa kutimiza majukumu yao