Ushauri: Watumishi wa umma wanapaswa kuisoma, kuitekeleza na kuitangaza ilani ya CCM

Masenu K Msuya

Verified Member
Jun 20, 2017
1,459
2,000
Habari wakuu,

Tanzania inaongozwa na serikali ya chama cha mapinduzi chini ya mwenyekiti wa chama cha mapinduzi hivyo nchi inaogozwa kwa ilani ya chama cha mapinduzi ilani ambayo walio wengi waliipigia kura na kuipitisha kuwa inafaa kwa kipindi cha miaka mitano kuwa dira yetu ya kutufikisha katika maendeleo tunayoyataka na ndio inatuletea maendeleo hivi sasa.

Hivyo basi, ili kufikia maendeleo ya kweli watendaji wanapaswa kuimba wimbo mmoja na kwenda njia moja na kushikamana pamoja.

Na watendaji wakubwa katika nchii hii ni watumishi wa umaa ambao kazi yao kubwa ni kuwatumikia wananchi kwa kutoa huduma juu ya maswala yanaowagusa direct wananchi hivyo wanao wajibu mkubwa sana wa kuisoma ilani ya CCM ili kujua sera ya nchi kwa kipindi cha miaka mitano katika sekta husika na kutekeleza nini sera inataka pia wanao wajibu wa kuitangaza sera ili wananchi watambue yanayofanyika yametoka wapi.

Hii itawezesha wananchi kutambua kazi nzuri inayofanywa na serikali yao hivyo kuwa-encourage kulipa kodi kwani wanakuwa na assurance ya matumizi mazuri ya kodi zao.

Na watumishi watakaoshindwa kutekeleza hili wanapaswa kuchukuliwa hatua kama wazembe kwa kushindwa kutimiza majukumu yao
 
Evarist Chahali

Verified Member
Dec 12, 2007
797
1,000

Njaa haina itikadi. And that's no rocket science. Wake up, idiot!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
11,306

Unatakiwa uelewe kuwa utumishi wa uma si utumishi wa ccm. Ile kazi hajawapewa na chama.
Usichanganye utumish wa umma na mambo ya vyama. Huko ni kuingilia shughuli zingine .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
singojr

JF-Expert Member
Oct 28, 2014
4,242
2,000
CCM ni mazwazwa yaani inamaana hakuna dira ya taifa? Ndio maana kila kitu kinaishia njiani kila anayekuja anakuja na yake kiko wapi kilimo kwanza?Moto wa Tanzania ya viwanda umeishia wapi?
 
Masenu K Msuya

Verified Member
Jun 20, 2017
1,459
2,000
Unatakiwa uelewe kuwa utumishi wa uma si utumishi wa ccm. Ile kazi hajawapewa na chama.
Usichanganye utumish wa umma na mambo ya vyama. Huko ni kuingilia shughuli zingine .

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu sio watumish wa cmm lakini wameajiriwa na serikali ya cmm na wanapaswa kuendana na dira ya serikali iliyopo madarakan ambayo dira hiyo imeandikwa katika ilani ya chama
 
Lyamber

JF-Expert Member
Jul 24, 2012
10,139
2,000
Nchi haiongozwi kwa ilani inaongozwa kwa katiba na sheria zilizopo, watumisho wa umma hawafanyii kazi ilani bali wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizopo ni upuuzi kuamini watumishi wa umma wanadeni la kutekeleza ilani ya chama cha siasa kunatofauti kubwa kati ya chama cha siasa na utendaji wa serikali jamii ya wajinga tu ndo hushindwa kutofautisha
 
The golden

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
1,039
2,000
Habari wakuu,

Tanzania inaongozwa na serikali ya chama cha mapinduzi chini ya mwenyekiti wa chama cha mapinduzi hivyo nchi inaogozwa kwa ilani ya chama cha mapinduzi ilani ambayo walio wengi waliipigia kura na kuipitisha kuwa inafaa kwa kipindi cha miaka mitano kuwa dira yetu ya kutufikisha katika maendeleo tunayoyataka na ndio inatuletea maendeleo hivi sasa.

Hivyo basi, ili kufikia maendeleo ya kweli watendaji wanapaswa kuimba wimbo mmoja na kwenda njia moja na kushikamana pamoja.

Na watendaji wakubwa katika nchii hii ni watumishi wa umaa ambao kazi yao kubwa ni kuwatumikia wananchi kwa kutoa huduma juu ya maswala yanaowagusa direct wananchi hivyo wanao wajibu mkubwa sana wa kuisoma ilani ya CCM ili kujua sera ya nchi kwa kipindi cha miaka mitano katika sekta husika na kutekeleza nini sera inataka pia wanao wajibu wa kuitangaza sera ili wananchi watambue yanayofanyika yametoka wapi.

Hii itawezesha wananchi kutambua kazi nzuri inayofanywa na serikali yao hivyo kuwa-encourage kulipa kodi kwani wanakuwa na assurance ya matumizi mazuri ya kodi zao.

Na watumishi watakaoshindwa kutekeleza hili wanapaswa kuchukuliwa hatua kama wazembe kwa kushindwa kutimiza majukumu yao
Acha ukasuku wa chama. Haya mavyama ya siasa yamewafanya watu wawe wajinga sana . Matatizo hayaangalii chama . Wote mtaumia tu. Sasa dola moja inauzwa 2400, bei hii haichagui hata kama utakuwa kada wa ccm bei ni hiyo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masenu K Msuya

Verified Member
Jun 20, 2017
1,459
2,000
Acha ukasuku wa chama. Haya mavyama ya siasa yamewafanya watu wawe wajinga sana . Matatizo hayaangalii chama . Wote mtaumia tu. Sasa dola moja inauzwa 2400, bei hii haichagui hata kama utakuwa kada wa ccm bei ni hiyo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu embu jaribu kuelewa kwanza hoja ndo ujibu na usijibu kwa mguso wa nafsi usidandie treni kwa mbele
 
The golden

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
1,039
2,000
Hakuna hoja kwenye hilo andiko ni utumbo tu. Mawazo kama haya ndo yametuhalibia kabisa nchi yetu. Nchi inaongozwa na sheria ,taratibu na dira . Ndoo maana hata huyu wa sasa hafuati hiyo ilani. Kwa mfano ilani ya ccm 2015 ilisema ,watoto wa kike wakipata mimba baada ya kujifungua watarudi shule, lakini yeye amekataa wasirudi.
mkuu embu jaribu kuelewa kwanza hoja ndo ujibu na usijibu kwa mguso wa nafsi usidandie treni kwa mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
 
polokwane

JF-Expert Member
Dec 16, 2018
582
1,000
mkuu sio watumish wa cmm lakini wameajiriwa na serikali ya cmm na wanapaswa kuendana na dira ya serikali iliyopo madarakan ambayo dira hiyo imeandikwa katika ilani ya chama
Mkuu civics yako ikoje? Serikali sio ya Ccm ni serikali ya jamuhuri ya muungano wa tanzania inayo ongozwa na CHAMA CHA MAPINDUZI ( chama kubwa ) hapo nadhani tusipotoshe umma hata kama ni makada,hatuna serikali ya CCM tanzania iwe bara au kisiwani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom