USHAURI: Watanzania tuache porojo za mtandaoni, tutoke mtaani tupiganie maisha yetu.

Woga tupa kulee

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
1,752
1,311
Katika hali ya kawaida, kwa kiumbe chochote hai, inapo tokea kuna hatari kwa uhai wake, basi kiumbe husika hupambana kwa nguvu zote, hadi tone la mwisho la damu yake!!!

Kimsingi hata mjusi ukimkimbiza sana akachoka, hugeuka nyoka hatari wa kobra na kukuuma vibaya!!! Paka ukimbananisha chumbani na kuanza kumtandika, akakosa pa kukimbilia, hukugeuka na kukurarua kwenye paji lako la uso na unaweza kujikuta umepumzika pema peponi muda wowote!!

Kwa binadamu, hali huwa ya hatari zaidi. Binadamu anaweza kugeuka kuwa chochote muda wowote. Anaweza kuwa mzuri kama malaika, ila ukimlazimisha anaweza kugeuka katili kuliko simba wa mwituni.

Kati ya mambo Mengi yanayo mbadili binadamu, hakuna jambo linamharibu kama kumnyima mahala pa kutolea machungu na hasira zake. Na kwa kutambua hili, katiba iliweka haki ya kupata habari, kuandamana na hata migomo!! Walio tunga katiba hawakuwa wehu, walijua madhara ya kuyazuia maji yaliyo kwenye mkondo kupita, yatatafuta njia tu na mwisho nyumba kubomoka!!!

Hasira zilizo mioyoni mwa watanzania, ni suala la muda tu, mavuno yake yatakua machungu kuliko shubiri! Bomu hili litakapo lipuka, hakuna atakaye kua salama, wa chama chochote, dini, kabila au jamii yoyote .

Kwa Mara ya kwanza, tunashuhudia watu wakisema wazi wazi kwamba wanatamani mkuu wa nchi afe!! Watu wa aina hii kimsingi wanakua wamemuua tayari Rais moyoni mwao na walicho kosa ni fursa tu ya kufanya hivyo!!!!

CHONDE CHONDE SERIKALI, RAIS NA MFUMO MZIMA WA NCHI!!! MNAIPELEKA TANZANIA MACHINJIONI!!!

NOTE:
Binadamu anahitaji zaidi ya chakula, mavazi na malazi, au barabara nk. Ana mahitaji makubwa ya kihisia kuliko haya material things. Kudhani mwanadamu anahitaji chakula na kulala na barabara pekee ni MATUSI kwa ubinadamu na ni jaribio la kumgeuza mwanadamu kuwa ng'ombe!! Hili lilimshinda Gaddafi, na litamshinda mwanadamu yeyote anaye karibu kufanya uovu huu.
NIMEMALIZA!!!!
 
Mkuu saa hizi watu hawalii lii tena wameamua kujipanga kimya kimya watu wapo machimbo.
 
Kudos sana mkuu umejenga hoja yenye kutafakarisha sana dhidi ya unyama wanaofanyiwa watanzania wasio na hatia na vyombo vya dola.

Hata Gaddafi, Mubarak, Saddam Idd Amin, Bokassa, Mabutu na madikteta wengine wenye ufanano na hao waliamini mahitaji ya mwanadamu ni kula na kuvaa tu, bila kuangalia kama mwanadamu maendeleo yake ya kwanza kabisa ni utu na uhuru wake, ukiuchezea uhuru na utu wa mwanadamu huwa kuna siku anachoka, na akichoka huwa haoni thamani ya uhai wake
 
Katika hali ya kawaida, kwa kiumbe chochote hai, inapo tokea kuna hatari kwa uhai wake, basi kiumbe husika hupambana kwa nguvu zote, hadi tone la mwisho la damu yake!!!

Kimsingi hata mjusi ukimkimbiza sana akachoka, hugeuka nyoka hatari wa kobra na kukuuma vibaya!!! Paka ukimbananisha chumbani na kuanza kumtandika, akakosa pa kukimbilia, hukugeuka na kukurarua kwenye paji lako la uso na unaweza kujikuta umepumzika pema peponi muda wowote!!

Kwa binadamu, hali huwa ya hatari zaidi. Binadamu anaweza kugeuka kuwa chochote muda wowote. Anaweza kuwa mzuri kama malaika, ila ukimlazimisha anaweza kugeuka katili kuliko simba wa mwituni.

Kati ya mambo Mengi yanayo mbadili binadamu, hakuna jambo linamharibu kama kumnyima mahala pa kutolea machungu na hasira zake. Na kwa kutambua hili, katiba iliweka haki ya kupata habari, kuandamana na hata migomo!! Walio tunga katiba hawakuwa wehu, walijua madhara ya kuyazuia maji yaliyo kwenye mkondo kupita, yatatafuta njia tu na mwisho nyumba kubomoka!!!

Hasira zilizo mioyoni mwa watanzania, ni suala la muda tu, mavuno yake yatakua machungu kuliko shubiri! Bomu hili litakapo lipuka, hakuna atakaye kua salama, wa chama chochote, dini, kabila au jamii yoyote .

Kwa Mara ya kwanza, tunashuhudia watu wakisema wazi wazi kwamba wanatamani mkuu wa nchi afe!! Watu wa aina hii kimsingi wanakua wamemuua tayari Rais moyoni mwao na walicho kosa ni fursa tu ya kufanya hivyo!!!!

CHONDE CHONDE SERIKALI, RAIS NA MFUMO MZIMA WA NCHI!!! MNAIPELEKA TANZANIA MACHINJIONI!!!

NOTE:
Binadamu anahitaji zaidi ya chakula, mavazi na malazi, au barabara nk. Ana mahitaji makubwa ya kihisia kuliko haya material things. Kudhani mwanadamu anahitaji chakula na kulala na barabara pekee ni MATUSI kwa ubinadamu na ni jaribio la kumgeuza mwanadamu kuwa ng'ombe!! Hili lilimshinda Gaddafi, na litamshinda mwanadamu yeyote anaye karibu kufanya uovu huu.
NIMEMALIZA!!!!
Ndugu upo mtaa upi nije tuungane tuanze kutembea mtaa kwa mtaaa,nazani ingekua vema ,,,,usitishie kujambaaa mzeee,,,umejificha yuma ya keyboard ,
 
Back
Top Bottom