Man Mvua
JF-Expert Member
- Apr 12, 2016
- 2,184
- 3,517
Kama ulikuwepo vile, yule mtaalum mkenya wa Ile yule mnoko vibaya mnoo tena hawapendi kabisa wazawa yaani Waziri alifanyie kazi hili swala.Ni shida kubwa alafu wanoko mbaya.
Kama ulikuwepo vile, yule mtaalum mkenya wa Ile yule mnoko vibaya mnoo tena hawapendi kabisa wazawa yaani Waziri alifanyie kazi hili swala.Ni shida kubwa alafu wanoko mbaya.
Duuuh Hussein huku upo tangu lini??Viongozi wetu hawana maono wao ni kupambana na akina Maxmello tu............kaka we ukisikia wanahitaji mwalimu English tushtuane...
Asante kaka watu kama nyie wachache wewe ni mzalendo Mungu anakuona
Sheria inatakiwa kufuatwa kuwa mgeni anayefanya kaz Tanzania awe na working permit in wachache sana wanazo au wanaweza kuwa Nazo. Ila lazima uwe makin maana Kuna baadh ya sehem wakuu wa kitengo wanakula% ya mishahara kila mwezi.Hata mm nitatoa ushirikiano hila sas tutatumia tafsida gani kuwaondoa maana tutaleta unyanyasaji, ukiangalia headmaster anatoka nje, msaidz anatoka nje, wa taaluma anatoka nje na wa nidhamu anatoka nje tutafanyaje kuwashusha vyeo wote kwa pamoja
Well saidNi ukweli kua tunahitaji changes kwenye idara ya uhamiaji. Nchi za wenzetu hata wafanyakazi wa mashambani wapo legally. It's a shame kama Huku kwetu wageni wanafanya kazi sekta maalumu pasi na kua na permits.
Serikali yetu idedicate efforts kulinda stahiki na haki za wazawa.
Siyo mbaya foreigners kufanya kazi nchini, but wafate sheria
Immigration waamke kutoka kwa hii usingizi and they better start acting