J33
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 1,552
- 1,505
Mimi no Mwalimu kwa miaka saba na nilimaliza chuo kikuu Udsm. Nimekuwa nikifanya kazi kwenye shule binafsi katika mikoa ya Pwani na Dar kwa muda wote huo.
USHAURI WANGU
Ili kuhakikisha vijana wengi wanapata ajira Serikali iwaondoe waalimu wote kutoka Kenya na Uganda ambao ndio wengi katika shule binafsi kuanzia msingi had secondary. Hii itasaidia vijana wakitanzania kupata ajira na kwa mkoa wa Dar na pwani pekee tunaweza kutengeneza ajira zaidi ya 1000 . Hapa namaanisha waondolewe wale ambao hawana working permit kwa sababu hata wakaamua kutoondoka watakuwa wanaongezea serikali mapata kwa sababu working permit kwa mwaka in karibu milioni tano. Hii kazi ilitakiwa kufanywa na uhamiaji ambao wanaonekana wamelala usingizi mzito( wakati taaasisi zote za serikali ziko active kwa sasa uhamiaji no kama hawapo) .Nimetolea mfano kwa Dar na Pwani ambapo Nina uzoefu napo lakin ukienda mikoa ya Arusha, Kilimanjaro au Kagera hali no mbaya zaidi shule zimejaa wakenya na waganda ambao hawana working permit.
Wengi tumesoma ualimu kwa kuwa ni sects iliyokuwa na uhakika wa ajira sasa Leo ajira zimekuwa ngumu sio kosa la Serikali lakin tujitahid kulinda ajira zilizopo kwa wazawa. Naikumbuka kauli ya Mh Raisi kuwa serikali hii ni ya wanyonge tujitahid wanyonge waone pia ni serikali yao.
Nitatoa ushirikiano pale itakapohitajika.