Ushauri wangu wa bure tu kama unajijua/ukijijua kuwa wewe ni ama Mwanaharakati au Mpingaji wa Mamlaka

Mtu ambaye anajifanya Gangwe wa Mitandaoni halafu anatumia Utambulisho wake wa Kificho simuamini na namuona Mnafiki.

Watanzania tuna hatimiliki ya unafiki.

Sababu kuu ni njaa na woga
(cowardice)

Wale wanaokosoa hadharani angalau sio waoga hata kama wamekosa adabu, uvumilivu na lugha stahiki ya kukosoa. Hii ni trend ya kizazi kilichopo dominant kwa sasa na hatuna budi kuivumulia.

Natoa rai kwa wanasiasa wetu, hasa wale wanaotawala kipindi hiki, wasijenge misingi ya visasi vya kikatili kwa vizazi vijavyo kwa kuwakomoa na kuwafanyia dhuluma wapinzani wao hata kwa kutumia visingizio kuwa wanavunja sheria.
 
Aliyekudanganya kuwa nchi za Afrika zina Demokrasia Komavu kama za Ulaya / Marekani ni nani? Jidanganyeni tu yawakuteni!

Asante jizukulu jilala. Tuna homa zaidi na Corona. Give us a break, siyo hawa misukule uchwara ambao wamejipa mamlaka ya kutisha watu badala ya kupambana na Corona.

Hii bagosha!
 
Jibu swali tangu mmeanza hizo mbwembwe mmefikia wapi ana anatamba kila siku

Samsung Galaxy
Ukiambiwa serikali ina mkono mrefu, muwe mnaelewa.
Serikali ina uwezo wa kupeleka watu hata Israel kujifunza kwa ajili yako wewe msumbufu mmoja tu.
Ukiangalia kule tweeter jamaa wanaruka viunzi ili hata wakikamatwa kisheria unakosa jinsi kumbana, angalia majina wanayotumia. Meko na Jiwe.
Lakini ni swala la muda wanaviziwa kwenye kona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana mapori yapo mengi maeneo mbali mbali ya nchi yetu

Kamata jembe ukalime uinue kipato cha kaya yako unakomaa na kishupalia mambo yasiyo na tija

Politics is just politics, mind your own ass
1. Acha Kuwaamini kwa 100% wale Watu wanaojifanya ni wa karibu Kwako.
2. Tumia ID iliyo anonymous na siyo ile ambayo inakutambulisha Kiuhalisi na wengi wanaijua.
3. Acha kupenda hovyo Wanawake au Wanaume kwani kwa 100% hao ndiyo watatumika Kukumaliza.
4. Hakikisha Mizunguko yako yote ya Siku uwe unaijua Wewe tu na ikiwezekana iwe ni ya Zig Zag Style.
5. Ukiona kuna Watu wanakusifia na kukupongeza kwa uanaharakati wako waangalie mara mbili mbili.
6. Wa Kumkaribisha Kwako awe ni Mama au Baba yako tu kwani Ndugu / Marafiki wengine hutumika.
7. Ukijua unaviziwa ama toa Taarifa kwa Watu mapema na ikiwezekana piga Picha Matukio yote.

Tuwe makini sana na nasisitiza tena tuwe makini mno na namalizia kusisitiza kuwa tuwe makini zaidi Maadui zetu hawalali 24/7.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu nawaona wanamtusiii yule muheshimiwa wakiamini ID fake, VPN na vikorombwezo vingine.
Wengine sababu wapo nje ya nchi.

Nakuambia chukua tahadhari maana siku ya kupatwa na majanga utatamani wakati urudi nyuma usafishe matusi yote.
 
Hivi pale pembeni ya Mdude kwenye ile picha akiwa na pingu mahakamani umemuona kigogo 2014?
Umemuona Mange?
Umemuona Zitto?
Umemuona Mbowe?
Umemuona Mdee??
Umemuona Lema?
Umemuona Fatuma karume?
Umewaona wale wafuasi wake waliokuwa wana like matusi yake?

Nauliza umewaona hao wakimsaport ndugu Mdude nao wakiwa wamefungwa pingu pamoja nae?

Umeona hata maandamano ya watu 5 tu kumsapot ndugu Mdude?

Tafakari sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kadakwa kwa sababu ya matusi au madawa ya kulevya?
 
1. Acha Kuwaamini kwa 100% wale Watu wanaojifanya ni wa karibu Kwako.
2. Tumia ID iliyo anonymous na siyo ile ambayo inakutambulisha Kiuhalisi na wengi wanaijua.
3. Acha kupenda hovyo Wanawake au Wanaume kwani kwa 100% hao ndiyo watatumika Kukumaliza.
4. Hakikisha Mizunguko yako yote ya Siku uwe unaijua Wewe tu na ikiwezekana iwe ni ya Zig Zag Style.
5. Ukiona kuna Watu wanakusifia na kukupongeza kwa uanaharakati wako waangalie mara mbili mbili.
6. Wa Kumkaribisha Kwako awe ni Mama au Baba yako tu kwani Ndugu / Marafiki wengine hutumika.
7. Ukijua unaviziwa ama toa Taarifa kwa Watu mapema na ikiwezekana piga Picha Matukio yote.

Tuwe makini sana na nasisitiza tena tuwe makini mno na namalizia kusisitiza kuwa tuwe makini zaidi Maadui zetu hawalali 24/7.
Huwa napenda kutoa maoni kwa lengo la kuelemishana mambo mbalimbali ya kitaalamu na kimaisha, ila mara nyingi huwa naona kama baadhi ya wachangiaji hawana 'skills' za uwasilishaji mzuri wa hoja zao kwa sababu ya jazba au kuzoea kutoa kauli zinazowaudhi wengine (yakiwemo matusi au lugha isiyo na staha au isioendana na kanuni ya 'reasonable person'). Badala ya kuchangia mada (mfano, 'kuwa na baiskeli ni bora kuliko kuwa na radio') wao wanaanza kumshambulia mchangiaji na kutoa lugha isiyo na staha au ya kuudhi. Huu siyo ustaraabu hata kidogo. Kwa wale wasio na 'skills' za 'good communication' jaribuni kusoma hata mtandaoni kuna vitabu vinavyosaidia kujua 'good communication' ni nini na inakuwaje. Ushauri wangu kwetu sisi wote ni kwamba 'let's all try to learn to be smart thinkers, good communicators and think and argue intelligently'. I'm sure we all love to be just what I've just said, don't we?
 
Na ndiyo maana mapema sana nami nimeamua leo Kuwatahadharisha kwani nimedokezwa zoezi linaendelea pia kwa wengine.
Wewe ni mmoja wa vibaka hao.

Kazi yako kubwa ni kuja hapa na kutisha watu hata bila aibu. Bure kabisa wewe.

Sasa unataka watu tuwe waoga hadi lini?

Na kwa nini mtu uwe mwoga kama huvunji sheria?

Unaudhi sana na upuuzi wako (wenu) huu.
 
Kuna watu nawaona wanamtusiii yule muheshimiwa wakiamini ID fake, VPN na vikorombwezo vingine.
Wengine sababu wapo nje ya nchi.

Nakuambia chukua tahadhari maana siku ya kupatwa na majanga utatamani wakati urudi nyuma usafishe matusi yote.
Titicomb upo?
Hatujawahi kumuogopa DIKTETA hata siku moja mpaka amekufa tunapiga spana kwa Fake ID na VPN zetu.

Sisi washindi na tulikuambia HATUOGOPI
 
ila baada ya Kayafa kufa si tupo salama sasa hivi?

Hao wasiojulikana nadhani watajua kwamba maisha ni mafupi ,wasiwe wanamtegemea mwanadamu,kuendelea kubana watu wasitoe maoni ndio iliyowaibua kina kogogo,kina Thobias Marandu ,Ngurumo etc US wana uhuru wa maoni ,wanamtukana rais waziwazi na hakuna wanalofanywa na US wana uchumi mkubwa sana!
 
Back
Top Bottom