Ushauri wangu wa bure kwa wale Watanzania wenzangu ambao huwa mnapewa Vyeo vya ' Kimamlaka ' hasa Serikalini

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nilikuambia wewe haupo ujiwekavyo humu.. unasikiliza ya watu na kuja kujiandikia

Jifunze kwanza.. kuwa simati 🀣🀣🀣
 
Jitahidini sana muwe mnapitia mara kwa mara β€˜ Job Descriptions β€˜ zenu katika nafasi mlizopo au mlizopewa ili hata baadae ikitokea β€˜ Mkatumbuliwa β€˜ basi msianze kusema mmeonewa au kuanza kusema kuwa sijui hamkujua kama mngetengeneza β€˜ Maadui β€˜ wengi au β€˜ Mnachukiwa β€˜ vile vile.

Lakini kama haitoshi jitahidini sana mnapoteuliwa na kuanza β€˜ Utekelezaji β€˜ wa β€˜ Majukumu β€˜ yenu hayo pale mnapokuwa mnaona kuwa mmekosea mahala fulani kwa β€˜ Uzembe β€˜ wenu basi msianze Kutafuta β€˜ Huruma β€˜ kwa Wananchi na hasa hasa kwa β€˜ Wanasiasa β€˜ ambao Wao Kazi yao ni β€˜ Kuokoteza Okoteza β€˜ huku na kule ili tu wapate cha Kusema / Kuzungumza kisha Wafuasi wao na hasa wale waliopo β€˜ Mitandaoni β€˜ wawakubali na wawaamini.

Mwisho kabisa β€˜ mnaoteuliwa β€˜ nyote tambueni ya kwamba hata kama mtakuwa mnajazwa upepo ( mnajambishwa / mnapewa viburi ) na hao β€˜ Wanasiasa β€˜ kwa Kujifanya ni β€˜ Watetezi β€˜ wenu ila Siku β€˜ mtakayotumbuliwa β€˜ na Kuyaanza Maisha yenu mapya bila β€˜ Wadhifa β€˜ wowote Wao ( hao Wanasiasa ) watakuwa hawapo nap engine hao hao wakaanza β€˜ Kuwageukeni β€˜ na β€˜ Kuwasimanga β€˜ kwani kama kuna Taifa ambalo linaongoza kwa kuwa na β€˜ Wanafiki β€˜ wengi duniani basi ni la Tanzania.

Zingatieni sana huu Ushauri wangu An Eagle tafadhalini.

Tangu ujikoroge eti umekuwa kimya.. ngoja nicheki..

πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ˜€

Rudi ila punguza kujibu wadau na maneno machafu
 
Ungepata bahati ya kufundishwa na Profesa Assad ndio ungemjuwa ni mtu wa aina gani.

Yule akitaka kazi hats sasa hivi anakwenda kufundisha vyuo vya Marekani kwenye wanafunzi wanaofundishika.

I feel sorry for SAUT lectures for this product.
 
Back
Top Bottom