Ushauri wangu wa bure kabisa kwa CCM yangu na hasa Mwenyekiti Taifa Rais Dkt. Magufuli dhidi ya Bernard Membe

Ama atumike sasa hivi kwa Faida ya Chama chetu au basi kama hatakiwi tena CCM nashauri mumuondoe mapema Chamani kwani kwa ' Mipango ' ambayo nimeipata kutoka kwa mmoja wa ' Insiders ' wake ambayo ni Mikubwa na ya Kimkakati zaidi kama au endapo itafanikiwa basi mwakani 2020 Mwenyekiti na Rais Dkt. Magufuli unaangushwa mapema ( asubuhi sana ) na anachukua nchi na hutoamini.

Akitumika ndani ya Chama chetu ' Organs ' zetu za Kiusalama zitakuwa katika nafasi nzuri ya Kumsoma na Kumdhibiti Kiurahisi mno ila akiachwa hivi hivi bila Kutumika na kuonekana kuwa sasa Yeye si Mali Kitu au muhimu tena CCM endapo akisema ahamie Upinzani au humu humu CCM afanye ' Mapinduzi ' anachukua Hatamu ya Chama na nchi.

Na taarifa zaidi zinadai kwamba kwa Pesa ambazo Bernard Membe anazo haza zile za Mafuta kutoka Libya alizozipata Kipindi fulani huko nyuma na ambazo pia amezificha katika moja ya nchi ambayo hata aliyekuwa ' Boss ' wake nae ameficha zake huko huko huku akipata ' Msaada ' mkubwa sana na hizi nchi tatu za Marekani, Uingereza na China akiamua ' Kukupindua ' au ' Kukinukisha ' ndani ya CCM au Kuipa CCM wakati mgumu au akihamia CHADEMA huenda CCM tukawa na Kazi ngumu na nzito mwakani ( 2020 ) kuliko hata ambayo Mzee Lowassa alitutesa na kutuhenyesha mwaka 2015 na hatutakuja kuamini macho yetu kwa Kitakachotokea.

Mwisho kabisa Mheshimiwa Mwenyekiti wangu na Rais wangu pia nakuomba sana acha ' Kuwakumbatia ' mno Wachina na kuingia nao Mikataba mbalimbali na mirefu kwani Wao pia wana mambo yao na huwa wana ' Umafia ' mkubwa kama wakiona upo nao na kisha baadae wakakuona uko tena na Wamarekani na pia ni wazuri mno katika ' Kupenyeza ' Uasi na Machafuko katika nchi husika. Kuwa na Urafiki tu ' Partially ' ila usiwaamini kivile hadi ukawaingiza Sebuleni na pia wakachungulia na Jikoni. Na kama kuna Kitu ambacho umewaudhi Wachina ni kile cha ' Kuwatosa ' katika Mradi ule wa Umeme wa Stiglers Gorge na ukawapa Wamisri na hapa lazima tu kuna sehemu Wachina watakuchezea mchezo wa ' Kimafia ' ambao utakutikisa kidogo.

Namalizia kwa kusema kwamba ama Membe atumike kwa Kukisaidia Chama chetu cha CCM au basi kama hatakiwi afunguliwe mlango mapema hii ili nasi tuanze Kuchora ramani ya Kumkabili ila akiachwa hivi ndani ya Chama huku akionekana mkimya wakati kumbe Mwenzenu anajipanga vilivyo mwakani 2020 kama akiamua Kuhamia Upinzani na hasa hasa CHADEMA tutakuja Kujuta na Kuukumbuka huu ' Uzi ' wangu hapa.

Lipokeeni na lizingatieni hili kwa umakini wenu mkubwa mno na mkae mkijua kuwa Bernard Membe ni ' threat ' ndani ya Chama cha CCM tena kuliko hata alivyokuwa Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Edward Lowassa. Jamaa ( Membe ) yuko makini, mwerevu na ni Mtu mjanja mno na anayejua Kuitumia vyema Taaluma yake ya Udiplomasia uliochanganyika na Ujasusi / Ujangu wake alioubobea na unaompenda vile vile.

Yangu ni hayo tu kwa leo.

Nawasilisha.
Kagame na watutsi wenzake wanamuogopa sana membe
 
Hawa hawa ndo walioweka nchi katika auto pilot ndani ya miaka 10 ya jk, leo hii watanzania tutapataje kuwa na imani nao? No way. Magufuli should stand out of this now....we are not happy with this emerging triangle: Jpm.....Rostam....lowasa!

Precisely Chief.
 
Ama atumike sasa hivi kwa Faida ya Chama chetu au basi kama hatakiwi tena CCM nashauri mumuondoe mapema Chamani kwani kwa ' Mipango ' ambayo nimeipata kutoka kwa mmoja wa ' Insiders ' wake ambayo ni Mikubwa na ya Kimkakati zaidi kama au endapo itafanikiwa basi mwakani 2020 Mwenyekiti na Rais Dkt. Magufuli unaangushwa mapema ( asubuhi sana ) na anachukua nchi na hutoamini.

Akitumika ndani ya Chama chetu ' Organs ' zetu za Kiusalama zitakuwa katika nafasi nzuri ya Kumsoma na Kumdhibiti Kiurahisi mno ila akiachwa hivi hivi bila Kutumika na kuonekana kuwa sasa Yeye si Mali Kitu au muhimu tena CCM endapo akisema ahamie Upinzani au humu humu CCM afanye ' Mapinduzi ' anachukua Hatamu ya Chama na nchi.

Na taarifa zaidi zinadai kwamba kwa Pesa ambazo Bernard Membe anazo haza zile za Mafuta kutoka Libya alizozipata Kipindi fulani huko nyuma na ambazo pia amezificha katika moja ya nchi ambayo hata aliyekuwa ' Boss ' wake nae ameficha zake huko huko huku akipata ' Msaada ' mkubwa sana na hizi nchi tatu za Marekani, Uingereza na China akiamua ' Kukupindua ' au ' Kukinukisha ' ndani ya CCM au Kuipa CCM wakati mgumu au akihamia CHADEMA huenda CCM tukawa na Kazi ngumu na nzito mwakani ( 2020 ) kuliko hata ambayo Mzee Lowassa alitutesa na kutuhenyesha mwaka 2015 na hatutakuja kuamini macho yetu kwa Kitakachotokea.

Mwisho kabisa Mheshimiwa Mwenyekiti wangu na Rais wangu pia nakuomba sana acha ' Kuwakumbatia ' mno Wachina na kuingia nao Mikataba mbalimbali na mirefu kwani Wao pia wana mambo yao na huwa wana ' Umafia ' mkubwa kama wakiona upo nao na kisha baadae wakakuona uko tena na Wamarekani na pia ni wazuri mno katika ' Kupenyeza ' Uasi na Machafuko katika nchi husika. Kuwa na Urafiki tu ' Partially ' ila usiwaamini kivile hadi ukawaingiza Sebuleni na pia wakachungulia na Jikoni. Na kama kuna Kitu ambacho umewaudhi Wachina ni kile cha ' Kuwatosa ' katika Mradi ule wa Umeme wa Stiglers Gorge na ukawapa Wamisri na hapa lazima tu kuna sehemu Wachina watakuchezea mchezo wa ' Kimafia ' ambao utakutikisa kidogo.

Namalizia kwa kusema kwamba ama Membe atumike kwa Kukisaidia Chama chetu cha CCM au basi kama hatakiwi afunguliwe mlango mapema hii ili nasi tuanze Kuchora ramani ya Kumkabili ila akiachwa hivi ndani ya Chama huku akionekana mkimya wakati kumbe Mwenzenu anajipanga vilivyo mwakani 2020 kama akiamua Kuhamia Upinzani na hasa hasa CHADEMA tutakuja Kujuta na Kuukumbuka huu ' Uzi ' wangu hapa.

Lipokeeni na lizingatieni hili kwa umakini wenu mkubwa mno na mkae mkijua kuwa Bernard Membe ni ' threat ' ndani ya Chama cha CCM tena kuliko hata alivyokuwa Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Edward Lowassa. Jamaa ( Membe ) yuko makini, mwerevu na ni Mtu mjanja mno na anayejua Kuitumia vyema Taaluma yake ya Udiplomasia uliochanganyika na Ujasusi / Ujangu wake alioubobea na unaompenda vile vile.

Yangu ni hayo tu kwa leo.

Nawasilisha.
Kama namuona cold killer " Membe" Mtu makini Sana atakae tetemesha utawala wa Jpm... Gentamycine umewasadia Hao Jamaa kuliona Hilo bila Shaka watalifanyia kazi.. Ila waache kulala watumie bongo zao kufikiri mambo Kama hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alieandika huu uzi hajui matumizi sahihi ya vyombo vya usalama ,na ndio mazwazwa wengi wa kiafrika hufanyaga na kusababisha machafuko kwa kuchanganya angenda binafsi na za nchi ,kwani kugombea nafasi yoyote ni unakiuka katiba kipengele namba ngapi?
 
Kweli,mleta mada ni janga la taifa
 
Kumbe watu wengi bado hatuijui CCM kiasi hiki?
Membe is gone. Gone forever!
 
Kama namuona cold killer " Membe" Mtu makini Sana atakae tetemesha utawala wa Jpm... Gentamycine umewasadia Hao Jamaa kuliona Hilo bila Shaka watalifanyia kazi.. Ila waache kulala watumie bongo zao kufikiri mambo Kama hayo

Sent using Jamii Forums mobile app

Kawaida yangu ni kuwa na ' Jicho la Tatu ' la Kuona mbali na Kuwahi Kushauri kabla ya hatari. Huyo Jamaa ( Membe ) wakimchukulia ' poa ' watakuja Kulikumbuka hili ' bandiko ' langu hapa Jamvini JamiiForums.
 
Alieandika huu uzi hajui matumizi sahihi ya vyombo vya usalama ,na ndio mazwazwa wengi wa kiafrika hufanyaga na kusababisha machafuko kwa kuchanganya angenda binafsi na za nchi ,kwani kugombea nafasi yoyote ni unakiuka katiba kipengele namba ngapi?

Huna ' IQ ' ya Kunielewa GENTAMYCINE hivyo usinipotezee muda hapa.
 
Hujaeleweka kivipi wakati unataka alie kwenye power amkandamize asiekua na power ,kwa ajenda binafsi huku akijua kabisa kugombea, kuhama chama ni haki ya kibinadamu na sio ukiukwaji wa katiba
 
Mbona Lugha yako ya sasa hivi ina ' Adabu ' Kwangu halafu ni ya ' Kiupole ' na ' Huruma ' zaidi tofauti na ile uliyoitumia katika ' post ' yako # 47? Kulikoni na umekubwa na hofu gani labda?
 
Kina Waitara walihama chama ndani ya mwezi mpaka unaibu waziri mliwapa! Kumbe ndio mana mlifanya 'manunuzi' fasta fasta ili kuwahi sheria ya vyama? Hivi mkuu sheria ya vyama vya siasa imeanza kufanya kazi lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
mmh sina uhakika, ila rasimu ya sheria nadhani bungeni imeishatoka na huenda inasubiri kuwekwa kwenye gazeti la serikali!
 
Ama atumike sasa hivi kwa Faida ya Chama chetu au basi kama hatakiwi tena CCM nashauri mumuondoe mapema Chamani kwani kwa ' Mipango ' ambayo nimeipata kutoka kwa mmoja wa ' Insiders ' wake ambayo ni Mikubwa na ya Kimkakati zaidi kama au endapo itafanikiwa basi mwakani 2020 Mwenyekiti na Rais Dkt. Magufuli unaangushwa mapema ( asubuhi sana ) na anachukua nchi na hutoamini.

Akitumika ndani ya Chama chetu ' Organs ' zetu za Kiusalama zitakuwa katika nafasi nzuri ya Kumsoma na Kumdhibiti Kiurahisi mno ila akiachwa hivi hivi bila Kutumika na kuonekana kuwa sasa Yeye si Mali Kitu au muhimu tena CCM endapo akisema ahamie Upinzani au humu humu CCM afanye ' Mapinduzi ' anachukua Hatamu ya Chama na nchi.

Na taarifa zaidi zinadai kwamba kwa Pesa ambazo Bernard Membe anazo haza zile za Mafuta kutoka Libya alizozipata Kipindi fulani huko nyuma na ambazo pia amezificha katika moja ya nchi ambayo hata aliyekuwa ' Boss ' wake nae ameficha zake huko huko huku akipata ' Msaada ' mkubwa sana na hizi nchi tatu za Marekani, Uingereza na China akiamua ' Kukupindua ' au ' Kukinukisha ' ndani ya CCM au Kuipa CCM wakati mgumu au akihamia CHADEMA huenda CCM tukawa na Kazi ngumu na nzito mwakani ( 2020 ) kuliko hata ambayo Mzee Lowassa alitutesa na kutuhenyesha mwaka 2015 na hatutakuja kuamini macho yetu kwa Kitakachotokea.

Mwisho kabisa Mheshimiwa Mwenyekiti wangu na Rais wangu pia nakuomba sana acha ' Kuwakumbatia ' mno Wachina na kuingia nao Mikataba mbalimbali na mirefu kwani Wao pia wana mambo yao na huwa wana ' Umafia ' mkubwa kama wakiona upo nao na kisha baadae wakakuona uko tena na Wamarekani na pia ni wazuri mno katika ' Kupenyeza ' Uasi na Machafuko katika nchi husika. Kuwa na Urafiki tu ' Partially ' ila usiwaamini kivile hadi ukawaingiza Sebuleni na pia wakachungulia na Jikoni. Na kama kuna Kitu ambacho umewaudhi Wachina ni kile cha ' Kuwatosa ' katika Mradi ule wa Umeme wa Stiglers Gorge na ukawapa Wamisri na hapa lazima tu kuna sehemu Wachina watakuchezea mchezo wa ' Kimafia ' ambao utakutikisa kidogo.

Namalizia kwa kusema kwamba ama Membe atumike kwa Kukisaidia Chama chetu cha CCM au basi kama hatakiwi afunguliwe mlango mapema hii ili nasi tuanze Kuchora ramani ya Kumkabili ila akiachwa hivi ndani ya Chama huku akionekana mkimya wakati kumbe Mwenzenu anajipanga vilivyo mwakani 2020 kama akiamua Kuhamia Upinzani na hasa hasa CHADEMA tutakuja Kujuta na Kuukumbuka huu ' Uzi ' wangu hapa.

Lipokeeni na lizingatieni hili kwa umakini wenu mkubwa mno na mkae mkijua kuwa Bernard Membe ni ' threat ' ndani ya Chama cha CCM tena kuliko hata alivyokuwa Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Edward Lowassa. Jamaa ( Membe ) yuko makini, mwerevu na ni Mtu mjanja mno na anayejua Kuitumia vyema Taaluma yake ya Udiplomasia uliochanganyika na Ujasusi / Ujangu wake alioubobea na unaompenda vile vile.

Yangu ni hayo tu kwa leo.

Nawasilisha.

Mkuu, naomba tu nikutonye kuwa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 umeshaisha na uliisha siku Lowassa alipoamua kurudi kundini kwake kwa zamani, zilizobakia ni formalities tu. Yaani hapa tulipo watu tunawaza 2025 nani atakuwa mrithi wa JPM.Kuhusu hao the Big 3, wasikupe pressure sana kwa sababu in any case, ALWAYS mmoja wao lazima awe upande wetu. Be comfortable!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom