Ushauri wangu wa bure kabisa kwa CCM yangu na hasa Mwenyekiti Taifa Rais Dkt. Magufuli dhidi ya Bernard Membe

# HON_TUNDU_LISSU #
Hello Friends of Tundu Lissu,
Salaam,
Naomba nianze na afya yangu. Kwa ujumla naendelea vizuri. Operesheni sasa zimeisha; zimeishia kwenye namba 24, maana hii ya mwisho ilikuwa ni operesheni mbili kwa mpigo. Walitoa kipande cha mfupa upande wa kushoto wa kiuno na kukipigia kiraka kwenye goti la kulia kwa juu.
Vidonda vyote viwili vimepona, angalau kwa juu. Sasa ni mazoezi ya kukunja goti lenyewe na kutembea. Natakiwa kuonana na madaktari wangu kila baada ya wiki sita kwa ajili ya x-ray na CT scan. Next appointment ni tarehe 2 Aprili na inayofuata ni tarehe 14 May.
Kwa vyovyote vile, safari iliyobaki sio ndefu sana. Ndani ya mwaka huu nitarudi nyumbani. Kwa pamoja, tuanze kujielekeza kwenye hilo. Tutashauriana kwa pamoja kuhusu tarehe na utaratibu mzima wa kurudi nyumbani.
Haya ya Ndugai na watu wake, na walio nyuma yao, tukabiliane nayo. Tutayaweza. Nguvu ya nuru, upendo na haki siku zote ni kubwa kuliko nguvu ya giza, chuki na dhuluma.
Nawashukuruni sana na Mungu wetu awabariki sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe jamaa n bogus nambari moja humu jf, kun tatizo gani membe akitaka kugombea?
Au unatumia katiba gani inayomnyima mwanachama wa CCM kugombea hicho kiti?
Umekuja na hoja dhaifu Sana ambazo hata hazieweleki hata mtoto wa kindergarten angelikushangaa Sana!

Unataka adhibitiwe ili iweje? Watu wengine Kama wachawi tu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Bora Mimi ni Bogus hapa Jamvini ila ' Mamaako ' Mzazi ni Pumbavu dunia nzima.
 
Ama atumike sasa hivi kwa Faida ya Chama chetu au basi kama hatakiwi tena CCM nashauri mumuondoe mapema Chamani kwani kwa ' Mipango ' ambayo nimeipata kutoka kwa mmoja wa ' Insiders ' wake ambayo ni Mikubwa na ya Kimkakati zaidi kama au endapo itafanikiwa basi mwakani 2020 Mwenyekiti na Rais Dkt. Magufuli unaangushwa mapema ( asubuhi sana ) na anachukua nchi na hutoamini.

Akitumika ndani ya Chama chetu ' Organs ' zetu za Kiusalama zitakuwa katika nafasi nzuri ya Kumsoma na Kumdhibiti Kiurahisi mno ila akiachwa hivi hivi bila Kutumika na kuonekana kuwa sasa Yeye si Mali Kitu au muhimu tena CCM endapo akisema ahamie Upinzani au humu humu CCM afanye ' Mapinduzi ' anachukua Hatamu ya Chama na nchi.

Na taarifa zaidi zinadai kwamba kwa Pesa ambazo Bernard Membe anazo haza zile za Mafuta kutoka Libya alizozipata Kipindi fulani huko nyuma na ambazo pia amezificha katika moja ya nchi ambayo hata aliyekuwa ' Boss ' wake nae ameficha zake huko huko huku akipata ' Msaada ' mkubwa sana na hizi nchi tatu za Marekani, Uingereza na China akiamua ' Kukupindua ' au ' Kukinukisha ' ndani ya CCM au Kuipa CCM wakati mgumu au akihamia CHADEMA huenda CCM tukawa na Kazi ngumu na nzito mwakani ( 2020 ) kuliko hata ambayo Mzee Lowassa alitutesa na kutuhenyesha mwaka 2015 na hatutakuja kuamini macho yetu kwa Kitakachotokea.

Mwisho kabisa Mheshimiwa Mwenyekiti wangu na Rais wangu pia nakuomba sana acha ' Kuwakumbatia ' mno Wachina na kuingia nao Mikataba mbalimbali na mirefu kwani Wao pia wana mambo yao na huwa wana ' Umafia ' mkubwa kama wakiona upo nao na kisha baadae wakakuona uko tena na Wamarekani na pia ni wazuri mno katika ' Kupenyeza ' Uasi na Machafuko katika nchi husika. Kuwa na Urafiki tu ' Partially ' ila usiwaamini kivile hadi ukawaingiza Sebuleni na pia wakachungulia na Jikoni. Na kama kuna Kitu ambacho umewaudhi Wachina ni kile cha ' Kuwatosa ' katika Mradi ule wa Umeme wa Stiglers Gorge na ukawapa Wamisri na hapa lazima tu kuna sehemu Wachina watakuchezea mchezo wa ' Kimafia ' ambao utakutikisa kidogo.

Namalizia kwa kusema kwamba ama Membe atumike kwa Kukisaidia Chama chetu cha CCM au basi kama hatakiwi afunguliwe mlango mapema hii ili nasi tuanze Kuchora ramani ya Kumkabili ila akiachwa hivi ndani ya Chama huku akionekana mkimya wakati kumbe Mwenzenu anajipanga vilivyo mwakani 2020 kama akiamua Kuhamia Upinzani na hasa hasa CHADEMA tutakuja Kujuta na Kuukumbuka huu ' Uzi ' wangu hapa.

Lipokeeni na lizingatieni hili kwa umakini wenu mkubwa mno na mkae mkijua kuwa Bernard Membe ni ' threat ' ndani ya Chama cha CCM tena kuliko hata alivyokuwa Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Edward Lowassa. Jamaa ( Membe ) yuko makini, mwerevu na ni Mtu mjanja mno na anayejua Kuitumia vyema Taaluma yake ya Udiplomasia uliochanganyika na Ujasusi / Ujangu wake alioubobea na unaompenda vile vile.

Yangu ni hayo tu kwa leo.

Nawasilisha.

Wewe ni chui uliyevaa ngozi ya kondoo, kamwe wewe huwezi kuwa mwana CCM mwenye maneno ya uchonganishi. Werevu tumekushitukia kwa njama zako za kikigawa chama.

Sidhani kama yupo atakayekusikia katika hila zako hizi.

Kama kweli wewe ungalikuwa mwana CCM ungepeleka madai yako katika ngazi na vikao vya chama waziwazi sio kujificha ndani ya mitandao na kupotosha ili kukigawa chama. Wewe umetumwa na mabeberu ya mbuzi.
 
Wewe ni chui uliyevaa ngozi ya kondoo, kamwe wewe huwezi kuwa mwana CCM mwenye maneno ya uchonganishi. Werevu tumekushitukia kwa njama zako za kikigawa chama.

Sidhani kama yupo atakayekusikia katika hila zako hizi.

Kama kweli wewe ungalikuwa mwana CCM ungepeleka madai yako katika ngazi na vikao vya chama waziwazi sio kujificha ndani ya mitandao na kupotosha ili kukigawa chama. Wewe ni beberu uliyetumwa.

Unaposema au kushangaa Mimi kulalamika kupitia Mitandao wakati huo huo hata Chama changu cha CCM nacho huwa kinatoa taarifa zake mbalimbali kupitia hii hii Mitandao unanifanya sasa nianze kuamini kuwa yawezekana Chama chetu cha CCM kinadharaulika kwakuwa kina ' Wapumbavu ' wengi kama Wewe.

Kama unaidhihaki Mitandao hii ya Kijamii basi waambie CCM wajitoe Facebook, Instagram na Twitter na kisha waambie wana CCM wote tena wale ' Seniors ' na ' Cadres ' kabisa wajitoe hapa JamiiForums kwani kama kuna Chama ambacho najua ' Members ' wake wengi ni Wana JamiiForums wazuri na wa Kutukuka basi ni wa CCM.

Na ni Mtandao huu huu wa JamiiForums ambao Mpumbavu Wewe leo unaudharau na kuchukia Mimi kupitishia ' Mawazo ' yangu kwa CCM ndiyo unakubalika, unafuatiliwa na unaleta ' Impact ' kubwa sana ya ' decision making ' ndani ya Chama chetu kwani hapa ndipo Watu wengi ambao pengine wanaona ' Mawazo ' yao mengi na mazuri hayawezi kupewa Kipaumbele Ukumbini kwakuwa huwa kuna Sycophants na Fools kama Wewe ndiyo huweza kuyaelezea kwa undani kabisa na kwa Kukusaidia tu huwa yanazingatiwa na kufanyiwa mno Kazi na Chama chetu cha CCM kusonga mbele.

Sasa kama kumbe unajua kuwa Mtu hafai kueleza Hisia zake kupitia Mitandao ya Kijamii mbalimbali ni kwanini Wewe huyu huyu bado upo hapa JamiiForums? au hujui kuwa hata huu Mtandao wa JamiiForums nao ni sehemu ya Mitandao ya Kijamii? Kuna Watu nikiwa nawadharau na kuwaiteni Wapumbavu ( hamna Akili ) msiwe mnanibishia bali muwe mnakubali tu kwani huwa napatia.
 
Yani kama Lowassa alikatwa na mbwembwe zake zote za kuondoka na wenyeviti wa Ccm mikoa mbalimbali+Mafuriko lkn leo amerudi zizini huku akiwa hana mkia,basi jua huyo Membe ndiye hana chochote cha kuifanya CCM.

Umepatia sana na nadhani ni wapumbavu na shit holes kama wewe ndiyo watayachukua mawazo ya wewe uliyetumwa na mabeberu-- chui uliyevaa ngozi ya mtu unayejifanya mwana CCM, kumbe kiraka cha mabeberu pori.
 
Upumbavu mtupu. Kwani ni nani aliyempa Jiwe haki miliki ya chama au uenyekiti au uraisi hadi asiondolewe??
 
Umepatia sana na nadhani ni wapumbavu na shit holes kama wewe ndiyo watayachukua mawazo ya wewe uliyetumwa na mabeberu-- chui uliyevaa ngozi ya mtu unayejifanya mwana CCM, kumbe kiraka cha mabeberu pori.

Actually We're glad to have a CERTIFIED FOOL like you Mokaze on board. You're welcome!
 
Yani kama Lowassa alikatwa na mbwembwe zake zote za kuondoka na wenyeviti wa Ccm mikoa mbalimbali+Mafuriko lkn leo amerudi zizini huku akiwa hana mkia,basi jua huyo Membe ndiye hana chochote cha kuifanya CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rostam Aziz ambaye amerudi kwenye game na lowasa hawezi kumsaliti jk hata siku moja...vivo hivyo hawezi kumsaliti membe. Wait! Yote ni mikakati
 
Rostam huyu huyu aliyekua anamsapoti Lowassa lkn JK akamkata kama kawa?huyu huyu aliyebanwa mbavu mpk akarudisha Channel 10+magic fm kwa CCM?Huyu waliyemdaka mdogo Akram ikabd fasta tu ajilete nchini mwenyewe?

Hana ubavu mbele ya Magu huyo.

Personally ningependa Jpm aimarishe machineries zake against rostam na lowasa. Hawa si watu wenyewe kuitakia mema nchi yetu.....hata kidogo. Rekodi zao zinafahamika...worse!
 
Nakubaliana nawe kwa 100% Mkuu. Binafsi siwaamini kabisa akina Rostam Aziz na Edward Lowassa na kuna uwezekano pia kurudi Kwao CCM kukawa ndiyo moja ya ' Mikakati ' ile ile ya ' Kimafia ' aliyonayo na anayoipanga Jasusi / Njagu Bernard Membe. CCM wawe makini nao hawa sana na Mwenyekiti Taifa asijisahau na asiamini mno taarifa za Watendaji wake bali na Yeye pia awe anajiridhisha.
 
Ama atumike sasa hivi kwa Faida ya Chama chetu au basi kama hatakiwi tena CCM nashauri mumuondoe mapema Chamani kwani kwa ' Mipango ' ambayo nimeipata kutoka kwa mmoja wa ' Insiders ' wake ambayo ni Mikubwa na ya Kimkakati zaidi kama au endapo itafanikiwa basi mwakani 2020 Mwenyekiti na Rais Dkt. Magufuli unaangushwa mapema ( asubuhi sana ) na anachukua nchi na hutoamini.

Akitumika ndani ya Chama chetu ' Organs ' zetu za Kiusalama zitakuwa katika nafasi nzuri ya Kumsoma na Kumdhibiti Kiurahisi mno ila akiachwa hivi hivi bila Kutumika na kuonekana kuwa sasa Yeye si Mali Kitu au muhimu tena CCM endapo akisema ahamie Upinzani au humu humu CCM afanye ' Mapinduzi ' anachukua Hatamu ya Chama na nchi.

Na taarifa zaidi zinadai kwamba kwa Pesa ambazo Bernard Membe anazo haza zile za Mafuta kutoka Libya alizozipata Kipindi fulani huko nyuma na ambazo pia amezificha katika moja ya nchi ambayo hata aliyekuwa ' Boss ' wake nae ameficha zake huko huko huku akipata ' Msaada ' mkubwa sana na hizi nchi tatu za Marekani, Uingereza na China akiamua ' Kukupindua ' au ' Kukinukisha ' ndani ya CCM au Kuipa CCM wakati mgumu au akihamia CHADEMA huenda CCM tukawa na Kazi ngumu na nzito mwakani ( 2020 ) kuliko hata ambayo Mzee Lowassa alitutesa na kutuhenyesha mwaka 2015 na hatutakuja kuamini macho yetu kwa Kitakachotokea.

Mwisho kabisa Mheshimiwa Mwenyekiti wangu na Rais wangu pia nakuomba sana acha ' Kuwakumbatia ' mno Wachina na kuingia nao Mikataba mbalimbali na mirefu kwani Wao pia wana mambo yao na huwa wana ' Umafia ' mkubwa kama wakiona upo nao na kisha baadae wakakuona uko tena na Wamarekani na pia ni wazuri mno katika ' Kupenyeza ' Uasi na Machafuko katika nchi husika. Kuwa na Urafiki tu ' Partially ' ila usiwaamini kivile hadi ukawaingiza Sebuleni na pia wakachungulia na Jikoni. Na kama kuna Kitu ambacho umewaudhi Wachina ni kile cha ' Kuwatosa ' katika Mradi ule wa Umeme wa Stiglers Gorge na ukawapa Wamisri na hapa lazima tu kuna sehemu Wachina watakuchezea mchezo wa ' Kimafia ' ambao utakutikisa kidogo.

Namalizia kwa kusema kwamba ama Membe atumike kwa Kukisaidia Chama chetu cha CCM au basi kama hatakiwi afunguliwe mlango mapema hii ili nasi tuanze Kuchora ramani ya Kumkabili ila akiachwa hivi ndani ya Chama huku akionekana mkimya wakati kumbe Mwenzenu anajipanga vilivyo mwakani 2020 kama akiamua Kuhamia Upinzani na hasa hasa CHADEMA tutakuja Kujuta na Kuukumbuka huu ' Uzi ' wangu hapa.

Lipokeeni na lizingatieni hili kwa umakini wenu mkubwa mno na mkae mkijua kuwa Bernard Membe ni ' threat ' ndani ya Chama cha CCM tena kuliko hata alivyokuwa Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Edward Lowassa. Jamaa ( Membe ) yuko makini, mwerevu na ni Mtu mjanja mno na anayejua Kuitumia vyema Taaluma yake ya Udiplomasia uliochanganyika na Ujasusi / Ujangu wake alioubobea na unaompenda vile vile.

Yangu ni hayo tu kwa leo.

Nawasilisha.
 
Nakubaliana nawe kwa 100% Mkuu. Binafsi siwaamini kabisa akina Rostam Aziz na Edward Lowassa na kuna uwezekano pia kurudi Kwao CCM kukawa ndiyo moja ya ' Mikakati ' ile ile ya ' Kimafia ' aliyonayo na anayoipanga Jasusi / Njagu Bernard Membe. CCM wawe makini nao hawa sana na Mwenyekiti Taifa asijisahau na asiamini mno taarifa za Watendaji wake bali na Yeye pia awe anajiridhisha.
Hawa hawa ndo walioweka nchi katika auto pilot ndani ya miaka 10 ya jk, leo hii watanzania tutapataje kuwa na imani nao? No way. Magufuli should stand out of this now....we are not happy with this emerging triangle: Jpm.....Rostam....lowasa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom