Ushauri wangu: Ningependa Madaktari wa kiume wasiwe wanazalisha

Taifa lina upungufu wa wakunga kwa mda mrefu madaktari wa kiume wamekuwa na msaada sana kwa kuwasadia akina mama wanaojifungua na we unayetaka waondolewe je wakiondolewa nani atakaye fanya huduma hiyo?
 
Ndiyo hapo sasa huwa ninajiulizaga sana kama haliepukiki ebu chukulia mfano huu ikiwa Mimi ni Dr na nipo katika hizi Hospitali zetu za kata na kamaunavyojua changamoto za madokta hasa huko vijijini, halafu ikatokea ameletwa mjamzito ambaye ni mama yangu mzazi na pale nipo peke yangu, je hapo itakuwaje itanibidi nimzalishe au vipi labda hapo mtaniuliza inakuwaje mama yangu awe anaendelea kuzaa wakati mimi mtoto wake nimeshakuwa mkubwakiasi hicho hadi kuwa Dr, ni kwamba hayo mambo yapo na yametokea
Yaani hadi unakuwa Dr mama yako bado anazaa? Acha utani aisee. Au mama yako yupi....mama mdogo au?

Mi najua kuzalisha ni kama kuokoa maisha ya watu wawili kwa wakati mmoja. Kuliko kuuona uchi afadhali wapoteze maisha? Maana kuzalisha ni bhita mura.
 
Uliza wazazi wamama waliozalishwa na wanaume wanapenda zaidi kuzalishwa na madaktari wanaume kuliko wanawake, wanasema wanawajali na wanaupendo na hawana maneno ya shobo/kebehi kwa mzazi.
 
tena MaDr. wa kiume ni waungwana sana kwa wajawazito kuliko wa kike. wana kauli nzuri sana kwa wamama tofauti na wa kike ambao mara nyingi wana jazba na lugha mbaya wakati mwingine.
 
C dhan kama mwanaume unaweza kumtaman mwanamke unaemwona akizaa aiseeee hyo swez kabsa
 
Ndiyo hapo sasa huwa ninajiulizaga sana kama haliepukiki ebu chukulia mfano huu ikiwa Mimi ni Dr na nipo katika hizi Hospitali zetu za kata na kamaunavyojua changamoto za madokta hasa huko vijijini, halafu ikatokea ameletwa mjamzito ambaye ni mama yangu mzazi na pale nipo peke yangu, je hapo itakuwaje itanibidi nimzalishe au vipi labda hapo mtaniuliza inakuwaje mama yangu awe anaendelea kuzaa wakati mimi mtoto wake nimeshakuwa mkubwakiasi hicho hadi kuwa Dr, ni kwamba hayo mambo yapo na yametokea
Kasomee uDr kwanza naamini utapata jibu hata kabla hujamaliza mwaka wa kwanza. Mambo mengine ni kuwaachia wenye fani maana kuyatafakari kwa akili za kawaida huwezi pata majibu.

Unazungumzia kuzalisha, vipi wanaofanya postmortem? Vipi wanaotibu sehem za haja kubwa? Wasafisha vidonda je? Vipi mochwari?

Enzi za vipimo vya tezi dume?? Hivi hii na kuzalishwa kipi ni uzalilishaji? Achilia kumzalisha huyo mama yako(japo ni jambo la kufikirika zaidi) unazungumziaje Mzee wako apimwe tezi dume na bwana mdogo tu daktari huoni hata wewe hutajisikia vyema??
 
Madaktari ni watu wakuheshimiwa sana. Tena hawa wa kiume ni msaada mkubwa sana kwenye hospitali zetu za serikali maana huko ndo kuna matusi, masimango na vitisho wakati wa kujifungua.
Kwa private hata akikuzalisha Dokta wa kike haina shida maana they have manners.
 
Duuuh, labda nikueleze kitu mleta uzi....

1) kwanza si kweli kama madaktari /wakunga wa kiume huwa wanafaidi sana kuangalia nyuchi za wanawake, ukweli kwa kazi tunayo ifanya tunajikuta hatuna tamaa za kiasi hicho... Akili yetu iko kwenye kumsaidia Mama na kiumbe aliyeko tumboni mwake

2) Mara nyingi, tunapo msaidia Mwanamke akajifungua mtoto wake, mambo Yote yanaisha hapohapo... Hata Tukikutana huko mitaani tutaongea mambo Mengine na sio kile kilicho tokea LABOUR WARD

NB: kazi zetu ni ngumu sana, achana na fikra zako za zamani... LENGO LETU NI KUOKOA MAISHA YA MAMA NA MTOTO WAKE
 
Kasomee uDr kwanza naamini utapata jibu hata kabla hujamaliza mwaka wa kwanza. Mambo mengine ni kuwaachia wenye fani maana kuyatafakari kwa akili za kawaida huwezi pata majibu.

Unazungumzia kuzalisha, vipi wanaofanya postmortem? Vipi wanaotibu sehem za haja kubwa? Wasafisha vidonda je? Vipi mochwari?

Enzi za vipimo vya tezi dume?? Hivi hii na kuzalishwa kipi ni uzalilishaji? Achilia kumzalisha huyo mama yako(japo ni jambo la kufikirika zaidi) unazungumziaje Mzee wako apimwe tezi dume na bwana mdogo tu daktari huoni hata wewe hutajisikia vyema??
Nikweli brother... Wanachukulia mambo mepesi sana hawa jamaa aiseeeh
 
Pale mbeya dr sijabaji alikuwa anatuzalisha na alikuwa dr mzuri sana
na hata ukikutana naye popote ni heshima 100%
sema watoto wa miaka hii nao hawajatulia;
Alikua anawafaidi anavyowapima PV unaingiza vidole kwenye papuchi then unaweka ile alama ya chadema ya v
 
Back
Top Bottom