Ushauri wangu: Ningependa Madaktari wa kiume wasiwe wanazalisha

ulaya12

JF-Expert Member
Nov 16, 2017
834
898
Naanza kwa kuwapa pongezi nyingi sana hawa madokta wa kiume wanaowazalisha wajawazito yaani hawa ni majasiri kupita hata wanajeshi, tena ujasiri uliotukuka angalia anakabidhiwa mjamzito amzalishe anaanza kumuingiza mikono kwenye K na kama mnavyojua madada wengine jinsi walivyonona kwa kweli Mungu awajaalie hawa watu kwa mimi kazi hii siiwezi lazima nitaingia majaribuni,

Halafu hata wakishamzalisha na mama kachanga ameruhusiwa huwa ninajiuliza mama mtoto anapokutana na yule Dr aliyemzalisha huwa anajisikiaje maana K yake ameichezea hadi basi, kwa ushauri wangu ningependa Madokta wa kiume wasiwe wanazalisha maana ukiachilia mbali huduma kitendo hicho ni udhalilishaji kwa wanawake.
 
na wewe sijui ndio umefikiria nini sasa hapa.
haya mawazo walikuwa nayo mababu wa miaka ya 60 huko..
saizi hakuna kuoneana aibu kwenye kazi ni ishu ya kuheshimu utu wa mtu tu.
 
Ndiyo hapo sasa huwa ninajiulizaga sana kama haliepukiki ebu chukulia mfano huu ikiwa Mimi ni Dr na nipo katika hizi Hospitali zetu za kata na kamaunavyojua changamoto za madokta hasa huko vijijini, halafu ikatokea ameletwa mjamzito ambaye ni mama yangu mzazi na pale nipo peke yangu, je hapo itakuwaje itanibidi nimzalishe au vipi labda hapo mtaniuliza inakuwaje mama yangu awe anaendelea kuzaa wakati mimi mtoto wake nimeshakuwa mkubwakiasi hicho hadi kuwa Dr, ni kwamba hayo mambo yapo na yametokea
 
Mama yako amefika ni mjamzito na yupo katika stage ya mwisho uamue afe au umzalishe hapo ni wewe akili kumkichwa.
 
Naanza kwa kuwapa pongezi nyingi sana hawa madokta wa kiume wanaowazalisha wajawazito yaani hawa ni majasiri kupita hata wanajeshi, tena ujasiri uliotukuka angalia anakabidhiwa mjamzito amzalishe anaanza kumuingiza mikono kwenye K na kama mnavyojua madada wengine jinsi walivyonona kwa kweli mungu awajaalie hawa watu kwa mimi kazi hii siiwezi lazima nitaingia majaribuni, halafu hata wakishamzalisha na mama kachanga ameruhusiwa huwa ninajiuliza mama mtoto anapokutana na yule Dr aliyemzalisha huwa anajisikiaje maana K yake ameichezea hadi basi, kwa ushauri wangu ningependa Madokta wakiume wasiwe wanazalisha maana ukiachilia mbali huduma kitendo hicho ni udhalilishaji kwa wanawake.
Umeshasikia wanawake wakilalamika kuzalishwa na madokta wanaume? Kwa taarifa yako wanawake wanapenda sana kuzalishwa na madokta wa kiume kuliko madokta wa kike!
 
Back
Top Bottom