Ushauri wangu kwa Wanasiasa wa kweli walio ACT Wazalendo na CHADEMA

SIASA IKO DUNIANI KOTE, NA DUNIA YOTE INA WAFUASI WA SIASA AINA YENU.
Bahati mbaya ikiwa asubuhi kila mtu ana msimamo, mchana wanapungua na ikifika jioni wengi unagundua maamuzi yao yalikuwa siyo yenye faida na kumsaidia mwananchi bali kila mtu anaangalia familia yake itaishije.

HAKUNA SIASA HAPA AFRIKA.
 
SIASA IKO DUNIANI KOTE, NA DUNIA YOTE INA WAFUASI WA SIASA AINA YENU.
Siasa unayoifikilia wewe siyo hii ninayoweza kuiandika hapa.

Afrika kuna ubinafsi siyo siasa, hiki unachokiona nje ya ulingo siyo kile kinachohakisi uhalisia wa siasa tunayoweza kuijadili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom