Ushauri wangu kwa wanandoa au kwa wanaotarajia kuwa ndoani

jangala

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
1,583
2,362
Habari zenu ndugu zangu wa hiari.
Leo naamua kuandika uzi huu ikiwa kama kushauri tu Kwa watu ambao wako au wanatarajia kuingia katika ndoa.
Watu wengi sikuhizi wanasema ndoa hazina raha na wala hazidumu, huenda ni kweli au la maana Sijafanya utafiti huo, Bali naomba nisaidie kushauri Kwa kupitia ndoa yangu Mimi.
Binafsi niko katika ndoa Mwaka wa 7 sasa.(Hapo toa miaka minne na nusu ya kuishi na mke wangu bila kubariki ndoa, Kisha jumlisha miaka miwili na nusu baada ya kubariki ndoa, then unapata miaka 7 nikiwa Pamoja na mke wangu)
Sasa Basi Huwa nashindwa kuelewa ni wapi wenzangu hufeli na kuanza kulalamika kuwa ndoa hazina raha, kwa ninavyojua mimi ni kuwa unapoamua kuoa au kuolewa basi ni unakuwa ushakubali kuachana na tabia za kikapera na kukubali kuvaa uhusika mkubwa zaidi... Kwa maana ya kuwa Ulikuwa uko huru kufanya mambo yako kwa jinsi unavyoamua wewe, ilimradi tu umeshataka iwe hvyo.. Sasa unapokuwa ktk ndoa uwezo wa kujiamulia kila kitu unakuwa huna tena... Kuna vitu unajikuta unalazimika kumshirikisha mwenza wako ili ndipo kifanyike... Huwezi kujiamulia tu kwani mwisho wa siku lazima utajikuta unasbabisha kujenga kitu kichwan Kwa mwenza wako kiasi cha kuzalisha chuki na manung'uniko ...Mke au mume anaanza kukosa uthamani wake kwako na hata akiuliza unakuwa msirimsiri bila sababu ya msingi... Kuna ubaya gani ukimwita mke au mume wako na kujadili mambo ambayo ukiyafanya yanagusa ndoa yenu moja Kwa moja?... Mfano watu wengi au wanaume wengi wanasema kumtajia mkeo mshahara wako ni kuuza ramani kwa adui.mke kujua mshahara wako sio vbaya .. kumtajia mkeo au mumeo kiasi cha mshahara wako ni njia moja wapo ya kujizuia kufanya unnecessary spendings... Hutosema uhonge au kununua kiwanja kisirisiri kwani lazima utawaza mwenza wako atahoji mwez huu pesa imepotea bila kujua imepoteaje... Pia kutaja mshahara wako Kwa mwenza wako kunasaidia kumjenga mke au mume wako kutokuwa na too much expectations kwako Kwa kudhan una pesa nyingi, unakuta mke wako anaomba kitu ambacho kiko over monthly income yako kwa kuwa hajui Ni Sh ngapi unapata.. Yy Anajua tu mume wangu anafanya kazi na anapata hela.
Tabia ya kuishi ndoani Kwa mazoea ya ukapera, ukishaoa ujue umejipunguzia uhuru wa kufanya mambo yako yasiyo rasmi na yasiyo na faida ya moja Kwa moja kwako... Una mke au mume umeamuacha nyumban ww uko bize na Kichen party, mpira,Story maskan, bar unakunywa na wana, story saloon na wenzio...mke au mume anakuhitaji uwe karibu nae ajihisi kuna mtu anataman kumuona na anamiss uwepo wake pindi anapokuwa hayuko karibu nae... Muda wa kazi Nenda kafanye kazi, ukimaliza rudi nyumban ujue nn kinaendelea na kama una root nyingine ianzie nyumban sio unaunganisha juu Kwa juu.. Unamjenga mwenza wako kujua ratiba zako kwaajil ya faida yako na yake...hapa kuna watu watasema utatengeneza mwanya wa mwenza kutumia ratiba yako ili afanye mambo yake ya kuchepuka.. Jibu ni rahisi tu, Kama unadhan mke au mume wako unaweza kumzuia asiliwe Kwa kuficha ratiba yako Basi unachekesha... Mtu mzima mwenye akili zake timamu huwez kumzuia asifanye uhuni Kwa style hyo.. Anaweza kuliwa hata muda ww unaoga bafuni yy anapika jikoni...
Kiungo kikuu kuwa ngono... Unakuta mtu Anaamua kuolewa au kuoa kisa tu mwanaume au mwanamke aliyenae anamkuna vzur... Ujue kuwa kila kitu Huwa na kiasi na muda wake... Sex enjoyment ya kipindi cha uchumba Ni tofaut sana na sex kipindi cha ndoa.. Mara nyingi ktk uchumba mnakuwa hamko Pamoja hvyo mkikutana ktk sex inakuwa ni kimuhemuhe na kila mmoja anakuwa kamiss Kwa mwenzie... But mkioana, muda wa kumisiana unakuwa ni mchache sana na kila mara mnaonana.. Hata mseme kuwa mkae wiki bila sex, ilimradi tu mnalala Pamoja, hamuwezi kufanya sex super kama kipindi cha uchumba... Na labda niwaambe tu kuwa ukitaka kujua kama unampenda mke au mume wako basi kaa nae mbali angalau miez mitatu kisha nenda kafanye nae sex utakuja kunambia.... Pia mkiingia ktk ndoa na kubahatika kupata watoto lazima mkubaliane na hali halisi kuwa things are not the same anymore... Huwezi kutaka treatment sawa na kipindi mko wawili,wakati saiz mna watoto.. Jambo tu la kuwaza watoto ada inakuwaje au mtoto analia sijui anaumwa au vipi, mtoto mbona haponi na hela zinakata, hakika mtu huyo hatoweza kukuhudumia kama unavyotaka wewe..
Nitaendelea.... Kwa leo niishie hapo.. But mambo ni mengi.
 
Miaka saba tu kwenye ndoa unakuja na uzi wakushauri wana ndoa wewe bado sanaa tena sanaa....... ....omba Mungu asikuonyeshe vitimbi vya wanawake kwasababu ni vikubwa kuliku vya sitani vikianza hata kama umevumilia miaka 25 kwenye ndoa wa 26 utashindikana however much utajitahidi...
 
Kuanzia mshahara hadi pensheni mke anajua vyote.

Pesa yooooooote nakabidhi kwake.

Mke wangu ni wa imani(Islam)(mtiifu) hapendi wanawe wateseke hivyo yupo tayari awe na njaa na sio wanawe wavae au kula chakula duni.

Hata nikifa Leo mwanaume atakayemuoa atambue hilo.

jangala unasemaje
 
1565332954957.png
 
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 huyu jamaa na nikki wa pili hawana tofauti. Yani ndoa miaka 7 tu kashaanza kuwa Kungwi!
 
Kuanzia mshahara hadi pensheni mke anajua vyote.

Pesa yooooooote nakabidhi kwake.

Mke wangu ni wa imani(Islam)(mtiifu) hapendi wanawe wateseke hivyo yupo tayari awe na njaa na sio wanawe wavae au kula chakula duni.

Hata nikifa Leo mwanaume atakayemuoa atambue hilo.

jangala unasemaje
Uko sahihi sana kaka....
Mkeo ni mwanamke unaemuamini, kama usingekuwa Unamuamini kwann umuoe?
Big up sana
 
Nimedumu kwenye ndoa kwa miezi kumi tu yaani hata mwaka haujafika ila tabia nilizozikuta kwa mwanamke imebidi ninyooshe mikono juu mpaka sasa nnavyoongea yupo kwao
Pole sana ndugu... Ila pia sikatai kuwa kuna watu wanaoaona but hata wafanyaje hawawezi kudumu... Ila ukioa tena jaribu kuzingatia makosa uliyokosea nyuma ili usiyarudie
 
Wanaume wanajitahidi katika kushirikisha ila wanawake wengi ambao na wao wanaingiza pesa ,hawapendi kushirikisha waume zao ila wanawake wanataka kushirikishwa
Ni ngumu kwa mwanamke anayewekwa waz na kushirikishwa vitu vingi na mume wake kukuta anaficha income yake... Ila wapo sikatai
 
Pole sana ndugu... Ila pia sikatai kuwa kuna watu wanaoaona but hata wafanyaje hawawezi kudumu... Ila ukioa tena jaribu kuzingatia makosa uliyokosea nyuma ili usiyarudie
Mkuu nitayagundua vp sasa hayo makosa?
Maana huyu kabla ya ndoa alikuwa akiniheshimu sana ila baada ya ndoa sasa ndo nikachoka
 
huyu jamaa na nikki wa pili hawana tofauti. Yani ndoa miaka 7 tu kashaanza kuwa Kungwi!
We unaongea miaka saba unaona kama michache... Wakat kuna watu hawamalizi miaka miwili washaachana... Hahaaaa ww kama uliacha mke ukiwa na zaid ya miaka mitano ndani ya ndoa basi jitafakari maana hakuna tabia mpya ambayo mwenza wako aliizua ghafla tu ambapo miaka yoote ile hukuona ilipo....
Pia nimesema ni ndoa yangu na sina experience na ndoa ya mtu yyte.. So sometimes najifanyaga mjinga ili kunusuru ndoa yangu... Kosa litakalo kuja nikuniachanisha na mke wangu ni moja tu Akizini na nikagundua.. Hayo mengine nasimama kidete mpaka akae sawa.
 
Back
Top Bottom