Ushauri wangu kwa Waheshimiwa Wabunge, hasa wa Upinzani

yule mkuu wa mkoa alivyosema cdm inahusika na mgomo wa madaktari hivi alipewa siku 7 alete ushahidi au?

Mbunge wa magamba hata akikosea hapewi onyo wala karipio. Nashauri wabunge wa CDM wasihofu, wachangie kwa busara na kweli. wananchi wanaelewa pumba na mchele; na 2015 wananchi wataamua chama kipi makini kipewe ridhaa ya kushika dola na kutekeleza sera zenye maslahi kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom