Ushauri wangu kwa Vyama vya Upinzani

Jul 27, 2021
31
29
Kuna msemo unasema
"Cheka nao kula nao cheza nao"kama huwezi kupigana nao ungana nao

Vyama vya upinzani na watanzania wenye kiu kali ya kutaka kuona hatima ya chama tawala hapa nchini kuna ushauri huu hapa

Chini ya makada na wale wanaojiita viongozi wa vyama vya siasa nchini hawana budi kukaa chini na kuweka sawa mipango na matumizi ya nguvu waliyobaki nayo kwa weledi na si vinginevyo. Mopango hii inaweza kuwa ya muda mfupi tu na ikaenda kama inayotakiwa

"Kaeni chini halafu mvitelekeze vyama vyenu na kwa wakati toafauti kila mtu atafute kadi ya ccm itakua jambo la busara watanzania wote kujiunga na chama yaani asibaki hata mmoja wote wawe CCM".

Na kwa mikakati iliyowekwa hata kama hata pasipokuwa na mtu wa kuanza kupiga kelele kwamba muda umetimia kutakuwa na anguko ambalo halijawahi kushudiwa katika mfumo wa siasa hapa nchini na huo ndio itakuwa mwanzo wa siasa mnayoiita demokrasia

Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom