Ushauri wangu kwa SUMATRA kuhusu magari ya Sauli

Saint Anne

JF-Expert Member
Aug 19, 2018
36,958
2,000
Mbona polisi wanatukamata sana wengine tuki overspeed hata kidogo tu kwenye hiyo barabara? Nimeshakamatwa nikiwa 57km/h.

Sasa hao Sauli wanakutana na polisi wa tofauti? Kuna kila dalili za rushwa hapo.
Kuna dereva wa bus fulani katika stori alisema"si kwamba sauli wanakimbia sana,wanapitisha hela,tochi haziwahusu kwahiyo hiyo inawasaidia kutosimama hovyo na ndipo wanapoyapiga gap magari mengine"
Ni dereva wa bus lililoshika chat sana kwa kuwahi kufika miaka ya 2010-2015
 

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
7,308
2,000
Hawa jamaa nimekutana nao wawili, yaani anaovetake anaingia upande wangu tupo uso kwa uso lakini anakomaa mm ndio inabidi nipite vichakani kumpisha.... ujinga wao utacost maisha ya watu siku moja.
Weka cctv camera kwenye gari
 

Silasy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
758
1,000
Haya wale mashabiki wa Sauli hapa Boss mwenyewe ndio kawakamata
IMG-20210805-WA0070.jpg
 

kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
6,212
2,000
Kuendesha gari ni art. Hakuna watu wawili duniani wanaweza kuendesha sawa. Hii si kwa gari tu bali pia katika utendaji mwingine wowote.

Elimu ndiyo inayo tofautisha watu kiutendaji.

Yule bwana aliyepumzika "phase out" yake ya watendaji wote (wakiwamo madereva) wasiokuwa na elimu sikuwahi kumlaumu.

Hawakukosea waliotambua elimu kuwa ufunguo wa maisha.
Elimu bila uzoefu ni sifuri
 

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
50,067
2,000
Mnaolalamika speed hiv mngepanda ngorika,
Buffalo enz hzo unakanyaga mosh saa sita
Cjui kama mngerudia

Pia dar express nliwah toka
Rombo nliingia dar saa nane na nusu
Ilikua balaaa yani
Meridian ya Rombo ishaingia dar saa 5.

Miaka ile barabara ya Msata haikuwepo.
 

road master

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
1,848
2,000
Wiki mbili zilizopita wameingia Morogoro saa 2:47 asubuhi wakitokea Dar, wakabana maeneo ya oilcom
Hivyo hivyo utsjikuta chumba cha maiti muda kama huo !!! Ni suala LA muda tuu !! Endeleeni na ushamba wenu kama watoto wa darasa LA tatu
 

Chen Hu

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
4,027
2,000
Mwaka 2013 tushawahi kufika ubungo saa 9 kasoro kutokea Njombe na BUDGET.
Ila mimi binafsi huwa napenda basi linalotembea, sio unapanda basi unakuta njiani mnapitwa tu.
 

Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
13,767
2,000
Mimi nadhani sasa hivi ingekuwa ni lazima magari yote yafungwe cameras mbele na nyuma. Ni rahisi kupunguza ajali na kupata ushahidi wa matukio mengi barabarani
Hawa jamaa nimekutana nao wawili, yaani anaovetake anaingia upande wangu tupo uso kwa uso lakini anakomaa mm ndio inabidi nipite vichakani kumpisha.... ujinga wao utacost maisha ya watu siku moja.
 

Mlandula Jr

JF-Expert Member
Jan 3, 2016
1,756
2,000
Wakuu habari,

Ningependa kuishauri SUMATRA wawaite na kuwashauri wamiliki/madereva wa mabasi ya SAULI kuwa kusifiwa barabarani kwa ubingwa wao wa kukimbia speed kubwa na kuovertake bila mpangilio siku moja kutagharimu maisha ya abiria wasio na hatia.

Ushauri wangu ni huo kwenu SUMATRA msije sema hamkuambiwa.
SUMATRA ndiyo akina nani hao?wanahusikaje na madereva au mimi ndo sielewi au?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom