#COVID19 Ushauri wangu kwa Serikali, Naomba Chanjo iwe lazima hatutaki kuangamizwa na wapuuzi wachache

Natarajia fisiemu kwa uwingi wao watamuunga mkono mwenyekiti kufanikisha azma ya chanjo kwa kishindo na kazi ikiendelea......
 
Unataka iwe lazima kwa maana ipi? kama mtu hataki unataka umuue au unatakaje? hata huko ulaya kuna watu hawataki ni haki yao. kama mashoga wamepewa haki wanajinafasi mbona chanjo ni kitu kidogo sana maishani? kama umechanjwa kwani unahofia nini hadi ulazimishe watu? unajua kuongoza taifa siyo kama familia, unaweza ukalianzisha wakakuua wewe pamoja na familia yako. uwe na hekima basi!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom