#COVID19 Ushauri wangu kwa Serikali, Naomba Chanjo iwe lazima hatutaki kuangamizwa na wapuuzi wachache

ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
1,363
2,000
Tuko tunapambana kuona ni jinsi gani janga la Corona linaisha kabisa tuendelee na mambo mengine, tumechoka kuzika viongozi kila mwezi.

Haya mambi ya kubembeleza watu ambao wameshaungua akili yamepitwa na wakati.

Haiwezekani wengine wachanjwe wengine wakatae waendelee kusambaza maambukizi huu si uungwana.

Naomba Serikali iweke mda kabisa kufika mwezi January mwakani ambae hajapata chanjo hakuna kutoka ndani wala kwenda ofisi yyte ya Umma.

Mtumishi wa Uma anayetoa huduma kama hataki chanjo Aache kazi.

Huu ujinga tukiuvumilia utatucost.

Chanjo ya muda mfupi, mbona ebora wakongo walipata chanjo mmesikia wamekufa?
 
body contact

Senior Member
Jul 28, 2015
127
250
Tuko tunapambana kuona ni jinsi gani janga la Corona linaisha kabisa tuendelee na mambo mengine, tumechoka kuzika viongozi kila mwezi,

haya mambi ya kubembeleza watu ambao wameshaungua akili yamepitwa na wakati,

haiwezekani wengine wachanjwe wengine wakatae waendelee kusambaza maambukizi huu si uungwana,

Naomba serikali iweke mda kabisa kufika mwezi January mwakani ambae hajapata chanjo hakuna kutoka ndani wala kwenda ofisi yyte ya Umma,

mtumishi wa Uma anayetoa huduma kama hataki chanjo Aache kazi,

huu ujinga tukiuvumilia utatucost,

chanjo ya muda mfupi, mbona ebora wakongo walipata chanjo mmesikia wamekufa?
Chanzo ni magonjwa yenu hayo yaliyokosa dawa,kinga kwishney,saiv mnatapatapa tuu
 
Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
2,122
2,000
Kama wanaochanjwa wataendelea kuambukizwa na wasiochanjwa, hiyo chanjo inafaida gani sasa??
Mi nawewe tumshangae huyu mpuuzi mtoa mada!

Yani ni sawa na kuambiwa upigwe chanjo ya ukimwi ili usiugue ukipata ukimwi ila still unaweza wa kupata ukimwi na kuumwa vile vile!
 
Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
2,448
2,000
Mtumishi wa umma chqnjo iwe ni lazima.kwa sababu wawao ndiyo wako kwenye risk ya kuambukiza wengine sababi wanahudumia watu.Halafu kuuguza au kufariki kwa mtumishi wa uma serikali ndiyo inayopata hasara.

Sasa iwe tu ni Sharti la lazima,hutaki chanjo basi unawaachia na kazi yao kwa hiari.Chanja kwa hiari au acha kazi kwa hiari
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,354
2,000
Tuko tunapambana kuona ni jinsi gani janga la Corona linaisha kabisa tuendelee na mambo mengine, tumechoka kuzika viongozi kila mwezi,

haya mambi ya kubembeleza watu ambao wameshaungua akili yamepitwa na wakati,

haiwezekani wengine wachanjwe wengine wakatae waendelee kusambaza maambukizi huu si uungwana,

Naomba serikali iweke mda kabisa kufika mwezi January mwakani ambae hajapata chanjo hakuna kutoka ndani wala kwenda ofisi yyte ya Umma,

mtumishi wa Uma anayetoa huduma kama hataki chanjo Aache kazi,

huu ujinga tukiuvumilia utatucost,

chanjo ya muda mfupi, mbona ebora wakongo walipata chanjo mmesikia wamekufa?
Ufaransa imeanza....

Macron ameanza.....

Huko usipochanjwa HUPATI BAADHI YA HUDUMA ZA JAMII....

#TujitokezeniKuchanjwa
 
Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
2,122
2,000
Tuko tunapambana kuona ni jinsi gani janga la Corona linaisha kabisa tuendelee na mambo mengine, tumechoka kuzika viongozi kila mwezi,

haya mambi ya kubembeleza watu ambao wameshaungua akili yamepitwa na wakati,

haiwezekani wengine wachanjwe wengine wakatae waendelee kusambaza maambukizi huu si uungwana,

Naomba serikali iweke mda kabisa kufika mwezi January mwakani ambae hajapata chanjo hakuna kutoka ndani wala kwenda ofisi yyte ya Umma,

mtumishi wa Uma anayetoa huduma kama hataki chanjo Aache kazi,

huu ujinga tukiuvumilia utatucost,

chanjo ya muda mfupi, mbona ebora wakongo walipata chanjo mmesikia wamekufa?
Usilete mihemko yako ya kipuuzi af watu ambao mnatumiaga dozi mda mrefu mna makasiriko ya ajabu sana!
Chomeni chanjo hio ila msilazimishe watu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom