Ushauri wangu kwa Rais Magufuli na Serikali yake kwa ujumla

habarini za wakati huu.

Ushauri wangu kwa rais ni kumpa mbinu ambazo atazitumia kutatua changamoto za kifedha kama world bank(WB) watasitisha kutupa mkopo wa $500million tuliokuwa tunatarajia kuupata ili tukatatue changamoto katika sekta ya elimu nchini.
"japo kuna wanyapiaji nyuma ya pazia wanadai eti zilikuwa kwa ajili ya uchaguzi. mimi siamini ktk hili(japo tayari nimeshaliandika)"

USHAURI WANGU NI HUU(MBINU).

*MISHAHARA: hapa hakuna kuwalipa watumishi wote wa uma mishahara/posho kwa muda wa miezi mitatu.

*BANK:hapa anaongea na gavana mkuu wanafanya michongo ya kuwaibia watz wote wanaohifadhi pesa bank kisirisiri. napendekeza atuibie buku buku(sh.1000) "hawatajua wataona ni makato ya kawaida tena tulio wengi tutadharau, buku kwani nn banaa."

*KAMPUNI ZA SIMU:hapa tunafanya kama hapo kwenye bank, unawaibia wote wanaotumia simu kuhifadhi fedha. "hapa unawaibia jero jero(sh. 500)

*TRAFFIK KESI:hapa ni kuweka matrafiki kila barabara wa kutosha mnawapiga faini za ajabu ajabu kwa muda wa miezi mitatu.

*KUBAMBIKIA WATU KESI:hapa mapolisi wanawabambikia watu kesi za hovyo hovyo tu. kama mtu hana hatia anapewa hata kesi ya uzurulaji pesa mnapatia kwenye dhamana. dhamana kwa kila mmoja iwe sh.90000.

Na hakika akitumia mbinu hii kwa muda wa miezi mitatu tu, tutakuwa tumejipatia kiasi kikubwa sana cha fedha.

NB: Ni ushauri tu anaweza akauchukua au akauacha.

ni mimi Kitombise(hahaa).

Wewe kweli Kitombise
 
leo ndio nauamini ule msemo wa hitler___UKWELI UNAPANDA NGAZI UONGO UNAPANDA LIFT

lakini siku ukweli ukifika kwenye kilele uongo hujitenga....

si-tuliambiwa kuwa tunafanya maendeleo kwa pesa za ndani na mabeberu wasitutishe

ama kweli tupo kwenye right track
mimi nilidhani kwa kauli zile tumeshaacha kukopa na tunajitegemea wenyewe.
sasa wameaibika bado wanaishi kwa mikopo
 
Wewe kweli ni Kitombise.
habarini za wakati huu.

Ushauri wangu kwa rais ni kumpa mbinu ambazo atazitumia kutatua changamoto za kifedha kama world bank(WB) watasitisha kutupa mkopo wa $500million tuliokuwa tunatarajia kuupata ili tukatatue changamoto katika sekta ya elimu nchini.
"japo kuna wanyapiaji nyuma ya pazia wanadai eti zilikuwa kwa ajili ya uchaguzi. mimi siamini ktk hili(japo tayari nimeshaliandika)"

USHAURI WANGU NI HUU(MBINU).

*MISHAHARA: hapa hakuna kuwalipa watumishi wote wa uma mishahara/posho kwa muda wa miezi mitatu.

*BANK:hapa anaongea na gavana mkuu wanafanya michongo ya kuwaibia watz wote wanaohifadhi pesa bank kisirisiri. napendekeza atuibie buku buku(sh.1000) "hawatajua wataona ni makato ya kawaida tena tulio wengi tutadharau, buku kwani nn banaa."

*KAMPUNI ZA SIMU:hapa tunafanya kama hapo kwenye bank, unawaibia wote wanaotumia simu kuhifadhi fedha. "hapa unawaibia jero jero(sh. 500)

*TRAFFIK KESI:hapa ni kuweka matrafiki kila barabara wa kutosha mnawapiga faini za ajabu ajabu kwa muda wa miezi mitatu.

*KUBAMBIKIA WATU KESI:hapa mapolisi wanawabambikia watu kesi za hovyo hovyo tu. kama mtu hana hatia anapewa hata kesi ya uzurulaji pesa mnapatia kwenye dhamana. dhamana kwa kila mmoja iwe sh.90000.

Na hakika akitumia mbinu hii kwa muda wa miezi mitatu tu, tutakuwa tumejipatia kiasi kikubwa sana cha fedha.

NB: Ni ushauri tu anaweza akauchukua au akauacha.

ni mimi Kitombise(hahaa).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakimgusa Zito ndio watazidi kuharibu sasa
Screenshot_20200201-085427.jpeg
Screenshot_20200201-085239.jpeg

Najua unatania.Lakini huoni kuwa jamaa anaweza kukubaliana na hadaa hiyo akaumiza wengi? Haaminiki na hazimtoshi pia!
 
ni njia ya kuonyesha uzalendo kwa rais wetu, siunajua"mchuma janga hula na wa kwao"
kwa upande wangu mimi nko tayari kuisaidia nchi yangu
 
Back
Top Bottom