Ushauri wangu kwa National Housing Corporation (NHC)

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
1,881
3,636
Kutokana na kushamiri kwa biashara kila kukicha katika maeneo ya Sinza, naongelea ukanda wa kuanzia Sinza Lego mpaka Mapambano, ningependa kuishauri NHC kununua viwanja vyote pembezoni mwa barabara ni kisha kujenga malls.

Nimefanikiwa kupita maeneo ya Sinza na hakika nimeona uhitaji wa malls badala ya hizi nyumba binafsi za watu zilizobadilishwa kuwa frame.

Ahsante.
 
Sasa wenzio tunaenda huko kwa sababu tunaaford kununua kwenye frame. Weka hayo ma malls yako uone Kama hatujahamia tabata. Jifunze kufanya market analysis. Washauri NHC wajenge nyumba nyumba za kupangisha za Bei nafuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom