Ushauri wangu kwa majaji wa BSS

haha

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
1,400
1,628
Nawashauri hawa majaji wajaribu kuwa fair kidogo kwa hawa washiriki ,binafsi nachukizwa sana na kumkatisha mshirika tamaa wakati akiwa ameimba mstari mmoja tuu wa walochotaka kuimba

Kiukweli kwangu mm binafsi naona haipendez kabisa kwan mnatia watu uoga na kuwakatisha tamaa

Salama ,Madam Rita ,Ommy& Master jay !!! Try to be humble!! Otherwise mtaboa
 
Kwanza hao BSS mimi sioni wanacho fanya cha maaana bali kutafuta ugali wao ili waendelee kuishi mjini.Ni staa gani wa muziki hapa bongo ambaye wamemuibua tangu waanze huo uhuni wao?
 
Kwanza hao BSS mimi sioni wanacho fanya cha maaana bali kutafuta ugali wao ili waendelee kuishi mjini.Ni staa gani wa muziki hapa bongo ambaye wamemuibua tangu waanze huo uhuni wao?

Umeongea vyema mkuu.
Maana washindi wanapewaga pesa bila kua na motives zozote za kuendeleza vipaji vyao.

Licha ya watu kushindwa kuimba wanatumia maneno machafu sana kuwakejeli mpaka mtu ndoto yake ya kua msanii inazimika.
Inakatisha tamaa sana.
 
Amini
Amini
Amini nawaambia.....enyi kizazi cha bingofleva na Amapiano muda hauko mbali ipo siku kuna jaji atakuja kupasuliwa vibaya sana, tunzeni huu uzi wangu
 
Kuna wanaoshindwa kwa uoga kwavile ni mara ya kwanza. Ila wakitulia wanaweza.

Maneno ya kihuni na kisela yanatumika kuwajaji.

Lakini washiriki nao hawapo serious. Itoshe kusema BSS ni ya hovyo
 
"Umeuharibu sana huo wimbo,,, alaf nilishakupa NO toka hapo nje" hayo manen ya hivy alitoa yule jamaa mwenye rasta nahisi kwa harmonize,,, wale jamaa wanakatisha sana tamaa alaf unaona kabis wanamkubali mtu kwa favor hadharani hovyo kabis BSS
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom