Elections 2015 Ushauri wangu kwa CHADEMA

DALA

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,212
4,515
Heshima mbele wanajukwaa!

Kati ya mwaka 2010-2015 tukubaliane kwamba CHADEMA imefanya kazi kubwa sana ya kujijenga kitaasisi lakini pia katika kujitafutia mtaji wa wapiga kura. Hecko kwa CHADEMA!

Sote tunajuwa mazingira yaliyopelekea Umoja wa Katiba ya Wananchi-UKAWA kuundwa. Navipongeza vyama hivi kwa kuungana maana huu muungano umekuwa na athari chanya katika saikolojia ya wapigakura.

Ushauri wangu kwa CHADEMA, naomba pamoja na muungano huu, mjitahidi chama kiwaingize wabunge wa kuchaguliwa siyo chini ya 150 mwaka huu. Hesabu yangu iko kwenye ushawishi wa kitakwimu ndani ya bunge. Hatuwezi kujua kitakachoyokea mbele ya safari baada ya uchaguzi hivyo kama taifa tunahitaji kuwa makini. Tuwe na idadi ya wabunge wa kutengeneza jeshi mkini kusimamisha shughuli zote za serikali kupitia bunge na hapo utaona chama twawala kinasalimu amri taratibu.

Bila ya hivyo mtakuwa kwenye hatari ya kudhoofishwa kupitia wabunge ambao chama hakina mamlaka juu yao maana hila lazima zitakuwepo baada ya uchaguzi huu ujao.

Nawasilisha
 
Duh...!, Mkuu Dala, uliona mbali...

Huu ndio ukweli wenyewe. Hebu tuchangie bila povu wajameni.

Mkuu Magonjwa Mtambuka, asante sana kwa hii kitu. Huyu ni mmoja wa ma Prof wa ukweli ninao waaminia, hivyo naunga mkono hoja ya Prof. Safari.

Tulisema humu akina sisi,

Kuna kitu hapa kilisemwa na Masha

Kikapuuzwa, sasa leo kusema Prof. Safari, haya sasa manazi wa Chadema, njooni mumponde kama kawaida yenu.

Mkiambiwa
Mnakasirika

P.
 
Na imetimia
 
Back
Top Bottom