The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,535
Honestly, hata mimi ningekuwa kwenye nafasi ya CHADEMA, ningepata shida sana kuamua hatima ya mbunge Aida Khenan na madiwani wake 10 na wengine watano toka maeneo mengine ambao "inadhaniwa walishinda"..
Natumia kauli ya " inadhaniwa walishinda", kwa maana nzuri kabisa..
Magufuli na CCM pamoja na serikali yao, wamelifanya hili kimkakati. Aida Khenan obviously, hakushinda just for the sake ya kushinda..
Huyu awe alishinda au hakushinda, ni kuwa alichaguliwa atangazwe "ameshinda" kimkakati na kwa lengo maalumu la watawala wa CCM..
Aida Khenan anaweza kuwa alilijua hili ama hakuwa analijua kabisa. Anachojua yeye ni kitu kimoja tu; Ni mshindi wa ubunge jimbo la Nkasi, Rukwa...!!
Sasa "mkakati huu" na "lengo (purpose)" hii ya CCM ndiyo CHADEMA inayopaswa kui - dig deep inside ijue na kisha iweze kufanya maamuzi sahihi based on that..
Honestly, mimi nina hakika kabisa CHADEMA wako very concerned na huyu mama na ubunge wake as an individual. Wanajua kuwa ubunge ni ajira na huyu mama anaihitaji ajira hiyo kwa udi na uvumba. Si rahisi kumwambia aikatae..
Nina uhakika, si nia wala lengo la CHADEMA ku - jeopardize ubunge wa Aida Khenan na udiwani wa wale wengine 15 Tanzania nzima..
However, the decision has to be made..
Ishu ni kuwa, CHADEMA na upinzani kwa ujumla unapambana na "mfumo dhalimu na hatari" wa utawala wa CCM..
Kamwe, CHADEMA hawapambani na Aida Khenan mbunge mmoja wa Jimbo...!
Kamwe, CHADEMA Hawapambani na wabunge wa viti maalumu...!
Na kamwe CHADEMA, hawapambani na madiwani wachache waliochaguliwa...!
For sure, all of these (Aida Khenan, special seats - women MPs & Councillors) are the victims of circumstances...
Katika mapambano haya, on the way, there's a lot of sacrifices to make..
Mathalani; maamuzi ya mbunge huyu kutokwenda kuapa na kutoteua wale wabunge wachache wa viti maalumu based on kigezo cha kura za urais maana yake ni chama kuwa tayari kukosa hata ruzuku kidogo ya Tshs (60,000,000 au 80,000,000 - my estimation) kwa mwezi...!!
On the other hand, maana yake ni kuwa wabunge wao (CHADEMA) hawa wote wakose ubunge (ajira) na waathirike wao, wanaowategemea na familia zao..!
This is unbearable price to pay. This is a big sacrifice one can afford to pay..!
Swali ni; ITAWEZEKANA???.
Jibu la swali hili ni rahisi sana na la moja kwa moja ofcoz...
Kwamba, it's absolutely impossible, at least on the individuals, wabunge na madiwani..!!
Na hapa ndipo ile kanuni ya "divide and rule" inapofanya kazi kwa ufanisi na inatumiwa na CCM na Magufuli kikamilifu...
Sasa nini kifanyike?
Kwa maoni yangu, napendekeza yafuatayo;
1. Aida Khenan, mbunge pekee wa kuchaguliwa wa jimbo la Nkasi, Rukwa (CHADEMA) aachwe aende akaape na awe mbunge rasmi..
Wote tunafahamu, ubunge ni ajira moja nzuri sana ya kisiasa na yenye malipo na marupurupu mazuri pengine kuliko ajira zote Tanzania..
Moyo wake uko hapo. Hata wafanyeje, CHADEMA hawataweza kumzuia huyu mama kwenda kuapa na atasundikizwa hata na polisi. So, peacefully, aachwe aende..
2. CHADEMA, wasisite kuteua wabunge wa viti maalumu pamoja na madiwani. Baada ya kuwateua waandaliwe kisaikolojia kwa maamuzi ya chama yatakayofuata, kwamba, pamoja na kuwa mnateuliwa, lakini chama kitawavua uanachama baadaye...
3. Baada ya michakato hii kufanyika, ndipo chama kije na tamko la kuwafuta uanachama wote walioasi maamuzi ya chama...
Hii ndiyo politics. Ni lazima wawe smart na sometimes a little bit rough to beat your enemy..
4. Tukumbuke kitu kimoja, game itakuwa haijaisha bado. Ndo tu itakuwa imeanza. Na obviously, ndivyo itavyokuwa...
NI HIVI;
Job Ndugai atachaguliwa na ataendelea kuwa Spika wa bunge la 12 bila shaka. Mchezo uliofanyika bunge la 11, utaendelea. Hatatambua maamuzi ya CHADEMA. Ataendelea kuwatambua hao kama wabunge halali wa bunge lake..
Kwa kufanya hivi, chama kitakuwa kimesimamia principles zake na kulinda heshima yake na wakati huohuo hawa wenye shida ya ubunge na udiwani wanakuwa wanaendelea kufurahia ajira zao..
I know hii ina impacts yake kisiasa tena kubwa tu. Lakini better this way than any other way around..
Asanteni kwa kunisoma..