Ushauri wangu kwa ACT Wazalendo na Maalim Seif

Ushauri Muflisi!
Mtoa hoja atambue kuwa Zanzibar na Rais Hussein mwinyi hana cha kupoteza iwapo ACT Wazalendo, haitataka kushirikiana na nayo kwenye serikali ya maridhiano ya kitaifa kwa mujibu wa katiba..
Anatatua matatizo au anaendeleza kuweka matatizo kwa kuua wazanzibari ambao hawamkubali!
 
Hakuna haja ya ugomvi,maalimu akubali,tusameheane,tuanze ukurasa mpya,
Lisu arudi achape kazi,,hawa wazungu ni wanafiki tu,wanaangalia zaidi interest zao
 
Hivi ni kwa nini wajipendekezao kwa mambo ya Zanzibar ni Wabara? I mean > 90 wanaopost mambo ya Zanzibar ni Wabara, kwa nini kwani kwenu hakuna matatizo?

Low IQ !
 
Seif katika Safari yake ya siasa imeisha October 27/28. Baada ya pale Seif anapaswa kupimzika, Umri na Afya haviruhisu tena harakati za siasa. Anapswa akubali Cheo ale maisha huku akimuandaa mpambanaji mwingine.
 
Mwisho wa siku dunia haiwezi kusimama kisa maamuzi ya Seif.

Alisusa 2015,nini kimebadilika?

Hizo nafasi mbili tayari zina wateule kasubiriwa ajichetue tu watu waapishwe.
 
ACT ikiingia katika udhalimu huko Zanzibar, CCM itachekelea sana maana huku Bara ambapo Chadema wamegoma kuteua viti maalum vya NEC wataonekana wako peke yao!

Umakamu wa rais huko Zanzibar umewekwa kimtego ili kuleta divide and rule katika kambi ya Upinzani ili wasiwe wamoja kwenye kuiconfront CCM na serikali yake kwenye ishu za msingi kama haki za binadamu na tume huru ya uchaguzi.

Yaani ACT kwa sababu zozote zile wakiendorse ujinga huu, watakuwa wamekwenda huko kwa sababu ya matumbo yao na si wananchi!
 
Mwisho wa siku dunia haiwezi kusimama kisa maamuzi ya Seif.

Alisusa 2015,nini kimebadilika?

Hizo nafasi mbili tayari zina wateule kasubiriwa ajichetue tu watu waapishwe.
Wasaliti huwa hawakosi, lakini pamoja na hayo ni ujinga kusaliti eti kisa usiposaliti wengine watasaliti!.

Watu wenye heshima hawanunuliki kwa vyeo!
 
Ushauri Muflisi!
Mtoa hoja atambue kuwa Zanzibar na Rais Hussein mwinyi hana cha kupoteza iwapo ACT Wazalendo, haitataka kushirikiana na nayo kwenye serikali ya maridhiano ya kitaifa kwa mujibu wa katiba.

Yeye ataendelea kupiga kazi katika kutatua kero za wananchi, wakati wao wakibaki vijiweni kupiga umbea na majungu baina yao na kupeleka umbea kwa mabeberu wao, huku Maalim Seif akiendelea kunufaika na mafao ya pensheni yake, kutokana na wadhifa aliokuwa nao wa kuwa Waziri Kiongozi wa SMZ, na Makamo wa Kwanza wa Rais wa SMZ.

Wasipupmbazwe na hoja za Zitto, ambaye bila ya kutarajia, ndoto zake zimepeperushwa, na sasa anatapatapa! ataendeleaje na msala wa maisha bila ya kuwa na pahala madhubuti pa kujishikia!.
Toka kaapishwa hajawahi kanyaga Pemba na baadhi ya sehemu Unguja kama Kaskazini Magharibi
 
Wasaliti huwa hawakosi, lakini pamoja na hayo ni ujinga kusaliti eti kisa usiposaliti wengine watasaliti!.

Watu wenye heshima hawanunuliki kwa vyeo!
Na kurudia kitu kilekile kwa namna ileile miaka nenda rudi ukitarajia matokeo tofauti ni zaidi ya ujinga.
 
Ushauri Muflisi!
Mtoa hoja atambue kuwa Zanzibar na Rais Hussein mwinyi hana cha kupoteza iwapo ACT Wazalendo, haitataka kushirikiana na nayo kwenye serikali ya maridhiano ya kitaifa kwa mujibu wa katiba.

Yeye ataendelea kupiga kazi katika kutatua kero za wananchi, wakati wao wakibaki vijiweni kupiga umbea na majungu baina yao na kupeleka umbea kwa mabeberu wao, huku Maalim Seif akiendelea kunufaika na mafao ya pensheni yake, kutokana na wadhifa aliokuwa nao wa kuwa Waziri Kiongozi wa SMZ, na Makamo wa Kwanza wa Rais wa SMZ.

Wasipupmbazwe na hoja za Zitto, ambaye bila ya kutarajia, ndoto zake zimepeperushwa, na sasa anatapatapa! ataendeleaje na msala wa maisha bila ya kuwa na pahala madhubuti pa kujishikia!.

Sasa kwani kuna mtu kamzuia Hussein Mwinyi kupiga kazi yeye apige tu, lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa kaingia madarakani kwa kuiba kura na kumwaga damu ya Wazanzibar isiyo na hatia!

Na haiondoi ukweli kuwa kawekwa hapo na Tanganyika na si kwa ridhaa ya Wazanzibari
 
Maslahi mapana ya ACT visiwani ni kuhakikisha, wanasimamia maslahi ya Wazanzibari sio watanganyika, sie kama wadanganyika hatukuwapigania, wala kuwatetea. Wamevamiwa na majeshi yetu, wamepigwa wamedhalilishwa, wameuwawa, Jee watanganyika tuluwasaidia kwa lipi, zaidi ya Domo tupu, hata kuandamana kupinga maovu hatukufanya. Sasa kwanini wasifuatilie yakwao kwanza
 
Sidhani kama Maalim atakubali
Maalimu akubali,,this is the last opportunity ambayo pengine itakuja kutokea tena be miaka 30 ijayo,
Kubalini muunde serikali ya umoja,mengine mtaenda mbarekebisha humo humo,
 
Hata wakifuatilia ya kwao, Itategemea kama watakuwa watiifu kwa Tanganyika, sasa ni maamuzi ya Maalimu na watu wake, Kusurrender kwa Tanganyika au kuendelea kupambana ili kujinasua kutoka kwenye makucha ya Tanganyika.

Sidhani kama ni busara kujiunga na watesi wako kisa wanakurushia makombo!
 
Maalimu akubali,,this is the last opportunity ambayo pengine itakuja kutokea tena be miaka 30 ijayo,
Kubalini muunde serikali ya umoja,mengine mtaenda mbarekebisha humo humo,
Kwa maslahi ya Zanzibar au Tanganyika?

Inaweza ikawa last chance ya Maalim kuendeshwa kwa ving'ora lakini isiwe last chance ya Wazanzibar kudai haki yao ndani ya muungano wenye heshima
 
Hakuna haja ya ugomvi,maalimu akubali,tusameheane,tuanze ukurasa mpya,
Lisu arudi achape kazi,,hawa wazungu ni wanafiki tu,wanaangalia zaidi interest zao
roho za wapemba wenzetu zinauma sana maalimu akikubali atakuwa katusaliti sisi wapemba
 
Ushauri Muflisi!
Mtoa hoja atambue kuwa Zanzibar na Rais Hussein mwinyi hana cha kupoteza iwapo ACT Wazalendo, haitataka kushirikiana na nayo kwenye serikali ya maridhiano ya kitaifa kwa mujibu wa katiba.

Yeye ataendelea kupiga kazi katika kutatua kero za wananchi, wakati wao wakibaki vijiweni kupiga umbea na majungu baina yao na kupeleka umbea kwa mabeberu wao, huku Maalim Seif akiendelea kunufaika na mafao ya pensheni yake, kutokana na wadhifa aliokuwa nao wa kuwa Waziri Kiongozi wa SMZ, na Makamo wa Kwanza wa Rais wa SMZ.

Wasipupmbazwe na hoja za Zitto, ambaye bila ya kutarajia, ndoto zake zimepeperushwa, na sasa anatapatapa! ataendeleaje na msala wa maisha bila ya kuwa na pahala madhubuti pa kujishikia!.
Sawasawa tutaona kama wana cha kupoteza au hawana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom