Mheshimiwa, kama anaweza kuinuka mshikilie atembee tembee hapo nje, kama unakaa ghorofani aende japo bacony mara kumi asb mchan jion na usiku. Nimeuguza ndugu zangu zoezi ilikuwa lazima; wanatoka nje ya nyumba (ofcourse iko fenced), wanatembea tulikuwa tunawahesabia kuzunguka nyumba mara mbili mbili asb mchana na jioni, walikuwa wameshaanza kutema mate au makohozi yenye rangi. Ilikuwa inatisha lakin Mungu kawanusuru. kula ilikuwa shida sana ilibidi nurse aje awe anawawekea drip ili angalao kuongeza nguvu mwilini. Hiki kitu ni halisi ndugu zangu. Mungu atuhurumieMzee wangu anasumbuliwa na Mapafu kubana aisee mpaka sasa anapumulia mashine sasa dah sijui ni covid kulaleki yaani anaumwa balaaa sasa yeye yupo kitandani tu hata mazoezi hafanyi
Vipi mtu mwenye covid-19 akirecover kuna chance ya kuja kuupata tena huo ugonjwa?
Nguvu Hana mkuuKama bado anazo nguvu za kutembea mfanyishe mazoezi tu
Kubanwa kifua pamoja na mapafu kufimba ndio hasa husababisha vifoDalili zinatofautiana toka mtu na mtu,lkn dalili common inayosemwa sana ni kubanwa kifua,kukosa Uhuru wa kupumua na uchovu