Mallia
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 437
- 1,532
Ushauri wangu kutoka South Africa ambapo nimepata experience kubwa ya huu ugonjwa na mimi nikiwa ni mhanga wa huu ugonjwa ni kwamba hakuna aliye salama na unamvamia kila mtu kwa mda wake yaani mnaweza familia moja akaupata mtu mmoja au wawili na wengine mkaponea lakini baada ya miezi kadhaa ukawakuta na nyine so hakuna aliye salama, ndio maana ugonjwa ulivyoingia waliosurvive kipindi kile ambao hawakupata hata mafua leo wapo tuliowazika so na wewe unayejiona upo safe leo kesho huijui.
USHAURI WANGU NI HUU
Huu ni moja ya ugonjwa ambao unatisha kweli kweli kwaambao tumeumwa na kupona , ukilemaa unakuondoa, huu ugonjwa ukikupata tiba yake kuu ni mazoezi tu na tiba za asili kama malimao tangawizi na virutubisho vingine ila mazoezi ndio kiboko ya huu ugonjwa, yaani mimi nilipona kwa ajili ya mazoezi , mapafu yalishaanza kubana na pumzi kukata nikapambana na mazoezi na ukakimbia wenyewe.
Huu ugonjwa ukisema ukimbilie kitandani utajihisi ndio unaenda kupona kumbe ndio unajichimbia kaburi na kuwapa virus mlango wa kushambulia mapafu yako, ukifanya mazoezi utajiona kama ndio unakufa lakini ndio unaenda kupona, tafuta uwanja tembea kimbia, toa jasho la kutosha mapafu yatafunguka yenyewe na kinga itapata nguvu ya kuuwa hao virus wote na mwili utarecover haraka kuliko yule mtu anayejilaza kitandani.
Na ndio maana hadi sasa hakuna wanamichezo au watu wamazoezi waliopoteza maisha kutokana na huu ugonjwa kama hamniamini chunguzeni wanamichezo wote na watu wa mazoezi waliopata huu ugonjwa leo hii wapo katika hali gani.
Cha msingi kila mtu ajiandae kwa lolote litakalotokea awe tayari kupambana hizi barakoa tunavaa tu lakini usalama wake sio wa asilimia miamoja lolote linaweza kutokea.