Ushauri wangu kuhusu Chato. Serikali izingatie haya...

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
3,478
2,000
Nimeangalia kwa kina mji wa Chato.nimeona Serikali ifikirie mambo haya.

1. Chato liwe Jiji

2. Chato kujengwe uwanja mkubwa wa mpira wa kimataifa

3. Chato ipelekwe Mbuga..ikiwezekana Serengeti ihamishiwe Chato.

4. Ijengwe Ikulu kubwa Chato

5. Bunge lihamishiwe Chato naona kama kumekaa vizuri zaidi kuliko Dodoma.

6. Ijengwe bandari kubwa ukanda wa Afrika Mashariki.

7. Iunganisjwe bahati hadi chato mameli ya ukweli yawe yanafika toka ulimwenguni.

8. Kila shirika la serikali na binafsi lilazimishwe kuweka makao makuu chato.

9. Kujengwe hospitali na chuo kikuu kikubwa kabisa.

10. Uwanja wa ndege wa Kimataifa ukasimikwe pale.

Haya ndiyo ambayo naona ni mambo ya msingi kwa sasa ili tuendelee kiuchumi.
 

ujoka

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
2,572
2,000
Na makao makuu ya yanga yahamishiwe CHATO maana pale jangwani ni hafifu sana na hapana hadhi ya kua makuu ya wapinzani wa WABABE WA MSIMBAZI
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom