Ushauri: wanawake msiokuwa na mvuto, tafuteni pesa kwa nguvu zote.

Mkuu usiseme hivyo, Mimi nimepata kademu Fulani hivi sura navumilia ila mwanamke mtamu sijawahi ona!hadi najuta kwanini nisingemjua kabla vyuma havijakaza
Aseeeeeeeee!!
Mimi ndmi.
Niite DAKTARI WA MANESI.

EEEbanaae! Comrade kama comrade nasemaje! Nyie wanawake wabaya ambao hamna mvuto mko mko tuu kama sufuria ya ugali, tafuteni sana pesa maana ndio itakayowapa credit aseeee!

utakuta mwanamke wakawaidaaaa, sura hamna, tako flat,rangi ndio haieleweki, basi hata awe na pesa imuongezee maksi, unakuta hana hata miaaa asee!

Wewe mwanamke m'baya unapata wapi ujasiri wa kupiga kizinga asee!

Mwanamke kua wa kawaida lakini pesa iwepo, hata nikiwa nawewe najua hutanipiga vizinga sana asee!

Acheni hizo asee, uzuri umenyimwa na pesa unyimwe!!!

Wanawake wabaya tafuteni pesa maseee maana nyie ndio mnaongoza kwa kutupiga vizinga aseeee

Aseeeee!

Ukichimama nchaleeeee!
Ukikaa nchaleeee!
Ukichuchumaa nchaleeeeeeee!

Wewe tuu!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom