Ushauri wako tafadhali, ni fursa gani za biashara zinapatikana nyanda za juu kusini?

Wilbert255

Member
Apr 15, 2020
27
28
Habari za wakati huu wakuu, bila shaka kila mmoja wetu anapambana ili kutimiza malengo aliyo jiwekea. Ushauri wako ni muhimu katika hili.

Mimi ni kijana, ni mwenyeji wa mikoa ya nyanda za juu kusini sana sana MBEYA na SONGWE na IRINGA kidogo, pia ni mwanachuo katika chuo (jina la chuo) hapa Tanzania.

Nategemea kuhitimu masomo yangu mwakani, Siku zote biashara asubuhi mahesabu jioni.

Naomba ushauri ni fursa gani za kibiashara na ujasiliamali nzuri zinazopatikana katika hiyo mikoa na kwa mtaji gani naweza toboa maisha, kwa sababu naona Kama nikimaliza masomo yangu naweza ishia kuzurura.

Asateni nawasilisha.
 
Mbeya unaweza kufanya biashara ya Mchele Wa kyela peleka mikoani,biashara ya nguo chukua Kariakoo, electronics an phone accessories,nenda chunya migodini kaangalie fursa, iringa biashara ya mbao ingia porini
 
Mbeya
Mchele
Parachichi
Nguo
Mahindi
Ndizi
Dhahabu
Grocery


Song we
Mahindi
Nguo
Electronic


Iringa& njombe
Mbao
Viazi mviringo
Vitunguu
Bucha la nyama ya ng'ombe
 
Back
Top Bottom