Ushauri wako ni muhimu

Konya

Konya

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Messages
920
Likes
12
Points
35
Konya

Konya

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2011
920 12 35
habari zenu wadau!! poleni na majukumu..naombeni ushauri wenu wataalamu na wale waliowahi ku experience hili tatizo (hasa wakina dada)..nna dada yangu ana tatizo la kutoka damu mda mrefu, kwa karibu miezi mi nne (4) sasa au zaidi bila kukata, tofauti na ule utaratibu wa kawaida wa hedhi i.e siku 3-5, amekwenda hospitali moja ya wilaya na kuwaona wataalamu wakampatia dawa za kutumia, lakini hakupata ahueni (damu haijakata) akarudi tena hospitali wakajaribu kumfanyia uchunguzi/vipimo wakamwambia anaviotea gani sijui kwenye mfumo wa uzazi, wakampatia tena dawa za kutumia ,but so far hakuna relief yoyote ile..so tunaomba ushauri wenu wadau..siku njema
 
Kaveli

Kaveli

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Messages
3,557
Likes
3,041
Points
280
Kaveli

Kaveli

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2012
3,557 3,041 280
habari zenu wadau!! poleni na majukumu..naombeni ushauri wenu wataalamu na wale waliowahi ku experience hili tatizo (hasa wakina dada)..nna dada yangu ana tatizo la kutoka damu mda mrefu, kwa karibu miezi mi nne (4) sasa au zaidi bila kukata, tofauti na ule utaratibu wa kawaida wa hedhi i.e siku 3-5, amekwenda hospitali moja ya wilaya na kuwaona wataalamu wakampatia dawa za kutumia, lakini hakupata ahueni (damu haijakata) akarudi tena hospitali wakajaribu kumfanyia uchunguzi/vipimo wakamwambia anaviotea gani sijui kwenye mfumo wa uzazi, wakampatia tena dawa za kutumia ,but so far hakuna relief yoyote ile..so tunaomba ushauri wenu wadau..siku njema
Mkuu Konya, Poleni sana kwa hilo.
Mpelekeni akapime/akacheck FIBROID. fibroid ni uvimbe unaojiotesha wenyewe kwenye uterus (mfuko wa uzazi) na huwa unakua taratiibu mpaka mnaweza mkadhani ni mimba. Moja ya dalili zake ni hiyo kwamba damu/hedhi inatoka mfululizo au mara kwa mara isivyo kawaida. Tiba yake ya kudumu ni operesheni (kufanyiwa upasuaji) kuondoa huo uvimbe.

USHUHUDA: mwaka juzi tu kuna mama yangu mdogo huko kijijini alikuwa na tatizo hilo la kuvuja damu mara kwa mara, baada ya muda wa miezi kadhaa hivi akaanza kuzidiwa kwa kuishiwa damu mwilini, nusra afariki! wakampeleka kwenye hospitali ya Wilaya kwa vipimo. wakampima na kumueleza kuwa eti ana cancer ya uzazi. so wakampiga dripu ya damu na kumpa dawa za kuwa anatumia akiwa nyumbani. Ndipo tukamfuata na kumleta Dar, akafanyiwa vipimo na kumkuta ana huo uvimbe wa Fibroids (tena uvimbe ulikuwa umeanza kukua) tu, hakuna cha cancer ya uzazi wala nini. Then akafanyiwa upasuaji (operesheni) na kuondoa hiyo Fibroids. Mpaka dakika hii yupo huko kijijini mzima wa afya kabsaaaa kama kawaida. Watalaam wanasema sababu mojawapo inayosababisha Fibroids ni matumizi ya hizi dawa za Uzazi wa Mpango kwa akina mama.

So ushauri wangu ni kwamba, mpelekeni kwenye HOSPITAL KUBWA akafanyiwe vipimo vizuri. Tena fanyeni haraka sana, iyo inshu ni seriouz sana, anaishiwa damu na mnaweza mpoteza. Akina mama wengi vijijini wanafariki kwa hilo tatizo.

Me yangu ni hayo. Humu JF ni junguu kuu, ngojea watalaamu watakuja na kuchangia zaidi.

Zetu Dua kwa mgonjwa.
 
daah! thax mkuu,ki ukweli, kutokana na maelezo yake issue iko seriaz yaani kama damu kukata labda siku moja au mbili na sio kwamba inakata kabisa ndani ya hizo siku mbili..baada ya hapo inajirudia tena..anyway nashukuru kwa ushauri wako
 
V

Visitatanzania

Member
Joined
Jul 25, 2012
Messages
29
Likes
0
Points
0
V

Visitatanzania

Member
Joined Jul 25, 2012
29 0 0
Mpigie mwenye namba hii 0714755582, mweleze tatizo hili. Nimeshaona akisaidia watu wenye matatizo kama hayo na wamepona.
 
Forum statistics

Threads 1,273,108
Members 490,297
Posts 30,471,653