geometry
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 466
- 356
Habari zenu wakubwa
Mimi ni mwanafunzi wa chuo
Nina mtaji wa million 1,biashara iliyo kwenye akili yangu ni kununua mtumba wa kiume grade one na kufanya retailing kweny hostels za vyuo
Ninachoitaji ni ushauri na uzoefu kwa wale wanaoijua vizuri biashara hii kama changamoto za upatikanaji mzigo etc