Ushauri: Wabunge wawe wanapimwa iq zao

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
Nafikiri sasa imefika wakati wabunge wapimwe iq zao kabla ya kupitishwa kugombea, bunge hili lina watu wengi wana upeo mdogo sana wa kuchambua ,mambo naona wakati muafaka umefika kwani bila hivo tutakuwa na wabunge mizigo
 
Back
Top Bottom