Kumekuwa na malalmiko mengi dhidi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Korogwe Vijijini juu ya figisufigisu ya urudishaji fomu ya mgombe Ubunge kwa tiketi ya CHADEMA. Kama kweli yanayosemwa na ni ya kweli basi ni DOSARI kubwa sana kwa Tume ya Uchaguzi. Mimi naishauri TUME kuwa mchakato uanze upya ili ionekane kuwa HAKI imetendeka. Hata taratibu zote zingefuatwa nina hakika CCM ingeshinda katika uchaguzi huu.