Ushauri wa wangu wa bure kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Kumekuwa na malalmiko mengi dhidi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Korogwe Vijijini juu ya figisufigisu ya urudishaji fomu ya mgombe Ubunge kwa tiketi ya CHADEMA. Kama kweli yanayosemwa na ni ya kweli basi ni DOSARI kubwa sana kwa Tume ya Uchaguzi. Mimi naishauri TUME kuwa mchakato uanze upya ili ionekane kuwa HAKI imetendeka. Hata taratibu zote zingefuatwa nina hakika CCM ingeshinda katika uchaguzi huu.
 
Ushauri unaotoa utaingilia sikio hili na kutokea sikio lingine...

Kitu ambacho unapaswa kufahamu ni kuwa hiyo ni (conspiracy) kati ya CCM, Msimamizi wa uchaguzi na Polisi wetu, kuhakikisha kuwa fomu za wagombea wa upinzani zinafanyiwa figisu figisu na kutopokelewa
 
Kwa mujibu wa maelekezo kutoka juu hilo halipaswi kutokea, ilishasemwa " hakuna cha kuwa neutral Mimi ccm, waziri mkuu ccm na makamu ccm na umeteuliwa na kiongozi wa ccm halafu unasema neutral? ". In short wapinzani kusubiri kutendewa haki katika utawala huu ni sawa na kusubiri embe kwenye mbuyu. Wanapaswa kuidai kwa njia yoyote including violence and demonstrations

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkiambiwa CCM wameshachoka mnabisha; sasa mbinu gani hizi za kishamba kwa chama kinachopendwa na wananchi wake.

Sasa na hapa hadi tuje kusaidiwa na Wamarekani? Miaka 51 ya Uhuru wetu hatuwezi kujiwekea utaratibu mzuri wa kuchaguana wenyewe kwa wenyewe?
 
Kumekuwa na malalmiko mengi dhidi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Korogwe Vijijini juu ya figisufigisu ya urudishaji fomu ya mgombe Ubunge kwa tiketi ya CHADEMA. Kama kweli yanayosemwa na ni ya kweli basi ni DOSARI kubwa sana kwa Tume ya Uchaguzi. Mimi naishauri TUME kuwa mchakato uanze upya ili ionekane kuwa HAKI imetendeka. Hata taratibu zote zingefuatwa nina hakika CCM ingeshinda katika uchaguzi huu.

Nafikiri tanzania tunawalakni ktk mfumo wetu wa elimu. Ukichora conceptual framework ya kitu chochote utaona kuwa kiwango cha elimu cha mtu alichonacho kina nafasi ya kuathiri msimamo/ hali/ namna anavyofikiri nk. La ajabu utaona kuwa mtu anakuwa ni PhD holder, profesa, Master degree lkni akiingia ktk siasa za CCM anakuwa mjinga wa mwisho kama kwamba hajapita shule/ skuli hata darasa moja. Thinking capacity, uwezo wa kujenga hoja, kuchambua hali inayomkabili vinapotea na vinahamia tumboni na kuathiriwa na bacteria anayeitwa BT( Bora Tumbo). Huyu ni bacteria hatari sana. Anakula akili na maarifa ya wasomi wa tanzania waliohamia CCM.

Ifike wakati rational thinking isipotee, na wala IQ isimezwe na uvivu wa kufukiri.
 
Mkuu umetisha .
 
CCM hawa ambiliki kila kukicha na uhuni ndio unazidi. One man one vote watanzania watapiga taabu hadi uhuni mtakatifu wa one man one machete utakapo rudisha heshima chini.Wahenga walisema haki kwa ncha ya upanga.Tanzania oyee.
 
Back
Top Bottom