Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,498
- 51,090
Katika vitu ambavyo utawala huu unaogopa ni
1. Mzungu
2. Mzungu
3. Kukosa sifa na kuacha kutukuzwa
Kimsingi kesi yenu ni kesi ya kisiasa, na walioinfluence kesi yenu na hali hii mliyokuwa nayo leo wana calculations za kisiasa ndani yake.
Waliwafrustrate kwa kuwaweka ndani, kuwasumbua na sasa wanakwenda kuchukua mamilioni ya pesa za bure kutoka mifukoni mwenu(au wanaowachangia) kwa kisingizio cha kulipa faini.
Hata hivyo mimi nina ushauri mmoja kwenu ni ushauri mchungu lakini kama mkiufuata utakuwa na matokeo chanya kwenu, kwa chama chenu na Taifa kiujumla.
KUBALINI MKAE JELA HIYO MIEZI MITANO
Fahamuni kuwa wamewapa miezi mitano kama namna ya kuwashikisha adabu lakini hawakutaka kuwaharibia career yenu ya kisiasa kwa sababu mgefungwa miezi sita na zaidi mgekosa sifa za kugombea ubunge na uraisi mbeleni kwa hiyo wamefanya hivyo ili kukwepa lawama nyingi za wananchi na jumuia ya kimataifa
Wamekupeni faini kwa makusudi kama exit stratergy yao ya kumalizana na hili jambo lakini wakati huohuo wakiwa wamewakamua fedha.
Sasa kinachotakiwa kufanyika hapa ni
1.Nyinyi kubalini kutumikia kifungo, faida ya hii ni kuongeza tension ya kisiasa nchini na kuendelea kuamplify hali mbaya ya uminyaji wa demokrasia nchini kitu kitakachowapa watawala pressure ya kubadili mambo nchini ili waendelee kupata mikopo nafuu na misaada
2. Mkikubali kukaa jela mtauondolea legitimacy uchaguzi unaoimbwa kuwa utakuwa huru na haki, huu uchaguzi hauwezi kuwa huru na haki wakati washindani wako unewasweka jela
3. In the long run mtaheshimika na umma na international community kama wapigania haki waliowahi kufungwa jela na utawala kidikteta usiopenda demokrasia na hivyo itakupeni mtaji mkubwa wa kisiasa mbeleni. Wakati mwingine Jela kwa mwanasiasa kutokana na mambo ya kisiasa inaongeza CV
4. Mkilipa hela, dola ikanogewa kuwa kumbe kuna uwezekano wa kutengeneza pesa kwa kukamata wapinzani, kuwapiga kesi za kubumbabumba kisha kuwatoza faini nono, huo ndo utakuwa mchezo wao, itakuwa ni extortion technic mpya nchini. Ni kama magaidi tu na michezo yao ya kukidnapp watu na kisha kudai fedha ili wawaachie mateka. Mkiwapa fedha inageuka mchezo wao. Hivyo basi hii modal ya utawala huu ikifanikiwa itakuwa ndo mchezo wao wa kuchukua pesa kutoka kwa washindani wao wa kisiasa, Chadema inayo nafasi ya kuvunja modal hii kwa kutowapa hawa watawala wanachotaka
Faida kubwa ya nyinyi kukubali kukaa jela, ni kuwa mtaendelea kuungwa mkono na umma wa watanzania kwa sacrifice zenu na bila shaka international community itaingilia kati this time na kuweka kibinyo zaidi kitakachopekekea kwenye Tume huru ya uchaguzi au katiba mpya
Ninajua, Ngosha hataki kuescalate situatuon ya sasa, sasa nyinyi msimpe calmness ya kisiasa kwa kuilipa dola yake fedha ya faini.
Nendeni mkatumikie kifungo, ili uwepo wenu jela iwe ngumu kujinadi kuwa anakusudia uchaguzi kuwa huru na fair.
Uchaguzi utakuwaje huru na haki wakati umefunga Top nzima ya uongozi wa chama unachoshindana nacho?
Are you ready to sacrifice Jail term ili uwepo wenu Jela uweze kugenerate bad publicity kwa utawala huu ili ajenda pana ya ukombozi iweze kupatikana kama blessing in disguise?
Viongozi wa Chadema, just think about this!!