Ushauri wa mazoezi na diet

kwa uzoefu wangu niliwahi kujaribu vyote

asikwambie mtu kuvi maintain ni shida (kwa upande wangu) sana na yataka moyo sana na wachache sana wanaweza hivi

GYM kila siku mazoezi sahihi na kwa wakati sahihi na kubalance chakula vizuri

Diet kila siku uzingatie mlo kamili, usileusile ovyo tu...

Hapohapo usichanganye chakula, mara ujisahau, mara ujisikie uchovu, mara nitafanya kesho, mara wiki hii sinywi soda/beer...mara wiki hii nitalala mapema

ILIFIKIA HATUA NIKASEMA BWANA EEE.. POTELEA MBALI MAISHA NDIO HAYAHAYA YANINI KUJITESAAA, cha kufia nini kujibanabana
Mazoezii jameni ni simpo.. Kuwa na ratiba ya kukimbia kwa wiki Mara 3 ni silaha kubwa Sana kudhibiti uzito

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
 
Kuna kitu kinaitwa calories. Tafsiri isiyo rasmi ni kiwango cha nguvu kilichopo kwenye chakula/kinywaji. Kisayansi, by average mwanaume anahitaji calories 2500 na mwanamke 2000 kila siku ili kumaintain. Sasa Unapokula chakula au kunywa drinks, mwili unatumia calories unazozihitaji tu (i.e 2500 au 2000) zozote zinazozidi zinahifadhiwa kama fats, na hapo ndio unaanza kunenepa.

Ili kupungua, inakupasa upunguze kula au kunywa vinywaji vyenye calories nyingi nyingi. Mfano kama beer, wali, chips au vyakula vya mafuta/kukaanga, keki, ugali, sambusa n.k. Badala yake kula sana vyakula vinavyoshibisha ila vina calories chache in comparison mfano Nyama choma, kuku, matunda kama tikitimaji, vegetables, eggs, milk, diet soda n.k

Ukizingatia hivyo tayari utaanza kupungua. Pia, kwenda gym ni vizuri. Kwa sababu unapofanya mazoezi unaongeza matumizi ya calories kitu ambacho kinasaidia kupungua. Kama unafanya mazoezi ya aerobic ni mazuri kwa afya njema ya moyo. Kunyanyua vyuma ni njia mojawapo nzuri kwa kuchoma mafuta mwilini, kama unazingatia diet (hauli ovyo) basi calories zitakazotumika kunyanyua vyuma zinatoka kwenye fat reserves ya mwili wako.

Nina miaka miwili na miezi miwili tangu nianze gym, lengo lilikua kuondoa kakitambi. Nimefanikiwa hilo na zaidi. Sasa hivi kupiga chuma imekua ni lifestyle yangu. Kitu cha msingi ni juhudi na uvumilivu. Kupunguza kitambi/mafuta na/au kujenga misuli sio kitu cha muda mfupi. Inategemea na unaanzia wapi ila it can take you several years kufika lengo. Kwa mimi nilikua skinny fat mwenye kakitambi ilinichukua kama miezi 8 kukaondoa kwa kunyanyua tu vyuma. Now napambana kujenga tu body one gym session at a time.
Safar kubwa ni Kuanza tu kama mm sahiv mazoez haiwez pita siku 3 sijafanya

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
 
acha kula wanga kabisa na sukari kwa mwezi mzima mazoei kidogo tu sio yale ya kujichoshaaa, utanishukuru baadae.

mimi nilianza rasmi diet may 2021. kufikia October nikapungua 15kg. nipo na maintain nao. nilikuwa 104kg sasa 89kg. niataanza tena baadae.target 80kg

kula proten za wanyama kula mpaka ushibe(nyama aina zote mradi inaliwa na binadamu)
nuts za kwenye miti (korosho etc)
mayai
samaki kula mpaka ushibe
mboga za majani zinazoota juu(cabbage, mchicha, spinachi na nyinginezo) kula mpaka ushibe
boga
matunda ni parachichi na tango tu. usile yale yenye sukari sijui Maembe mananasi,

kunywa maji

mazoezi kidogo uwe fit please consistency ni muhimu

nakutakia mema
Sio kweli huwezi kupunguza 15kg kwa miezi nane tu, haiwezekani labda kama ulipelekwa jela, eti kwa diet tu na mazoezi kidogo you are absolutely lying
 
Acha kula wanga kabisa??? Uko serious kweli?
 
Sio kweli huwezi kupunguza 15kg kwa miezi nane tu, haiwezekani labda kama ulipelekwa jela, eti kwa diet tu na mazoezi kidogo you are absolutely lying
Miezi 8 mingi sana, unaweza kupunguza hata kwa miezi mitatu hizo kilo 15 inategemea na determination na lifestyle yako, kwenye kupunguza kilo Kuna watu wanafanya diet Kama vichaa, watu wanapiga water fasting wiki nzima, unategemea hizo kilo zisipungue? Ila kiufupi kupunguza kilo ni kazi ngumu sana ila usiseme haiwezekani
 
Kupunguza si kazi ngumu kama ku maintein weight
 
Back
Top Bottom