Ushauri wa marehemu Ali Mufuruki kwa vijana wasomi nchini Tanzania

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,118
Anasema, "ushauri wangu kwa vijana: Usiwe mfungwa wa vyeti na elimu yako ya darasani usidharau kile kinachoitwa kazi za kawaida au za elimu ndogo.fanya kazi yoyote Ile ilimradi ni ya halali. Utarudi kufanya kazi unayoipenda mara tu utakapokuwa na uhakika wa kula na mahala pa kuishi"

Ali Mufuruki 1958 - 2019.

IMG_20191210_115405.jpeg
 
Back
Top Bottom