Ushauri wa mahusiano kwenye ndoa-"Anachokihitaji mwanamke"

Quinn

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
473
1,179
Kitu cha kwanza na cha pekee mwanamke anachohitaji ni affection (upendo) ni muhimu sana, mwanamke haitaji kujamiani kama anavyohitaji affection (upendo).

Affection (upendo) sio kujamiana, wanaume wengi wanaamini kuwa wanapomaliza kujamiana kuwa mwanamke ana furaha sio lazima iwe kweli kwa sababu mara nyingi na wanawake wengi uwa na hasira pale waume zao wakisha mwaga (their husband climaxes) kwa sababu wengi wao uwa wanakuwa hawajaridhika.

Mwanamke ana hitaji affection (upendo) kuliko kujamiana kama gari linavyo hitaji mafuta,mwanamke anahitaji affection (upendo).

Affection sio sex(kujamiana), kujamiana na mke wako sio kiashirio cha affection (upendo) ayo ni matokeo tu ya kitu.

Kuonesha affection (upendo) inakubidi ufanye kitu kwa mtu ambacho kitaleta matokeo kwenye affection(upendo). Ndo maana mwanamke anahitaji kuambiwa kila siku na mumewe kuwa nakupenda na hii ni kila siku hata mara kumi kwa siku mwambie nakupenda kwani anahitaji hicho kama affection(upendo).

Affection(upendo) ni kumpelekea maua mkeo bila hata sababu.

Affection(upendo) ni kushikana mikono mbele za watu na kutembea sehemu za masoko.

Affection (upendo) ni kumwambia mkeo njoo ukae karibu yangu tena wakati nikiendesha gari.

Affection (upendo) ni kumpeleka mkeo kula chakula cha mchana kwenye mazingira tofauti bila hata sababu.

Affection(upendo) sio kitu cha gharama ni kitendo cha kuwaza tu kitu kizuri cha kumfanyia mkeo.

Wanaume wenzangu nisikilizeni kwa makini, mnakunywa mafuta jibu ni hapana, je gari lako linahitaji mafuta jibu ni ndio basi mnajua wake zenu wanacho hitaji, hauhitaji kufikiri au kuhisi au uwe na sababu kubwa ya kusimama ili ununue maua lakini unafanya kwa sababu hicho ndicho gari linachohitaji

Affection (upendo) uanzia asubuhi, kucheza kitandani, kumbusu mkeo na kumuita honey hata kumwambia maneno mazuri kuwa kuna wanawake wengi duniani lakini hawakukaribii wewe kwa uzuri.Unaenda jikoni unatengeneza kifungua kinywa kidogo kwa ajili yake hiyo ndo affection(upendo) na kumpelekea hicho kifungua kinywa chumbani kabla ya yeye kuamka na akiamka unamwambia honey kwa miaka yote umenipikia hii ni kwaajili yako hiyo ndo affection (upendo) wanahitaji.

Mpeleke kwenye gari na umfungulie mlango hiyo ndo affection(upendo)

Affection(upendo) ni kumbusu mkeo kabla hajaenda kazini au kabla ya wewe kuondoka kwenda kazini.

Affection (upendo) ni kumpigia mkeo kila baada ya dakika kumi na kumwambia nimekupigia ili nkwambie tu nakupenda alafu kata simu hautaji kuongea saaaana inachukua sekunde tatu tu.. "A woman does not want that, she needs that"..It's a need
 
Hayo mambo labda umfanyie demu wa kifilipino sio wa kibongo utaumia.

Hawa wa kwetu wamezoea kupelekwa mchaka mchaka kiasi cha kwamba ukimpa real love and affection ki style hio anachanganyikiwa na kukuona fala au mshamba wa mapenzi na inakuwa ndio tiketi ya yeye kukuendesha kama gari bovu. In short mademu wengi wa kibongo hawaelewagi upendo wa kweli ni nini hata ukiwaonesha.

Save yourself some headaches, tongoza...outing...piga dudu...endelea na maisha...mfanyie kile unajiskia kufanya ndani ya uwezo wako,,,she is still a woman kama anakupenda atakuwepo tu bila hata kufanya hayo yote ulioainisha.

Experience inaonesha KE wanaopewa hizo affection wengi huwa wasumbufu na kiburi kingi ila wanaoteswa na kupelekwa kibishi wako very loyal na huwaambii kitu yani,wanalalamika tu ila hawaachi men wanaowapa shida ndo kwanza wanazidi kulewa penzi na hii ni toka enzi.
 
Kila mtu ana mfumo wake wa affection kwa mwanamke wake
Wanawake hawako uniform.
Hizi elimu khs wanawake hazina tofauti na inspirational talks khs ujasiriamali
 
Ni bora ungeeleza umuhimu wa affection tu lakini ulipojidai kupuuza kujamiiana umuhimu wake, umeonesha we bado kabisa hujawafahamu wanawake.
 
K
Kitu cha kwanza na cha pekee mwanamke anachohitaji ni affection (upendo) ni muhimu sana, mwanamke haitaji kujamiani kama anavyohitaji affection (upendo).

Affection (upendo) sio kujamiana, wanaume wengi wanaamini kuwa wanapomaliza kujamiana kuwa mwanamke ana furaha sio lazima iwe kweli kwa sababu mara nyingi na wanawake wengi uwa na hasira pale waume zao wakisha mwaga (their husband climaxes) kwa sababu wengi wao uwa wanakuwa hawajaridhika.

Mwanamke ana hitaji affection (upendo) kuliko kujamiana kama gari linavyo hitaji mafuta,mwanamke anahitaji affection (upendo).

Affection sio sex(kujamiana), kujamiana na mke wako sio kiashirio cha affection (upendo) ayo ni matokeo tu ya kitu.

Kuonesha affection (upendo) inakubidi ufanye kitu kwa mtu ambacho kitaleta matokeo kwenye affection(upendo). Ndo maana mwanamke anahitaji kuambiwa kila siku na mumewe kuwa nakupenda na hii ni kila siku hata mara kumi kwa siku mwambie nakupenda kwani anahitaji hicho kama affection(upendo).

Affection(upendo) ni kumpelekea maua mkeo bila hata sababu.

Affection(upendo) ni kushikana mikono mbele za watu na kutembea sehemu za masoko.

Affection (upendo) ni kumwambia mkeo njoo ukae karibu yangu tena wakati nikiendesha gari.

Affection (upendo) ni kumpeleka mkeo kula chakula cha mchana kwenye mazingira tofauti bila hata sababu.

Affection(upendo) sio kitu cha gharama ni kitendo cha kuwaza tu kitu kizuri cha kumfanyia mkeo.

Wanaume wenzangu nisikilizeni kwa makini, mnakunywa mafuta jibu ni hapana, je gari lako linahitaji mafuta jibu ni ndio basi mnajua wake zenu wanacho hitaji, hauhitaji kufikiri au kuhisi au uwe na sababu kubwa ya kusimama ili ununue maua lakini unafanya kwa sababu hicho ndicho gari linachohitaji

Affection (upendo) uanzia asubuhi, kucheza kitandani, kumbusu mkeo na kumuita honey hata kumwambia maneno mazuri kuwa kuna wanawake wengi duniani lakini hawakukaribii wewe kwa uzuri.Unaenda jikoni unatengeneza kifungua kinywa kidogo kwa ajili yake hiyo ndo affection(upendo) na kumpelekea hicho kifungua kinywa chumbani kabla ya yeye kuamka na akiamka unamwambia honey kwa miaka yote umenipikia hii ni kwaajili yako hiyo ndo affection (upendo) wanahitaji.

Mpeleke kwenye gari na umfungulie mlango hiyo ndo affection(upendo)

Affection(upendo) ni kumbusu mkeo kabla hajaenda kazini au kabla ya wewe kuondoka kwenda kazini.

Affection (upendo) ni kumpigia mkeo kila baada ya dakika kumi na kumwambia nimekupigia ili nkwambie tu nakupenda alafu kata simu hautaji kuongea saaaana inachukua sekunde tatu tu.. "A woman does not want that, she needs that"..It's a need
Kwani
sakayo
wewe huwa unataka nini?
 
AIsee mimi nina tabia zaidi ya hizi ila hiyo ya kumfungulia mlango ndo bado cjaexperience kwasababu cna gari nna pikipiki tu

Michezo kitandani lazima mzee baba then kumpikia cku moja moja isn't a big task at all

Um ishu ya kumpigia cm kila baada ya dakika kumi it's crazy
Napiga cm pale napoona kuna ulazima maybe hajibu sms ya msingi au nahisi kuna kitu cha msingi cha kumwambia coz nakua Niko busy kazini so labda kwa cku nampigia Mara 4 tu lkn c kila dakika kumi
 
Kitu cha kwanza na cha pekee mwanamke anachohitaji ni affection (upendo) ni muhimu sana, mwanamke haitaji kujamiani kama anavyohitaji affection (upendo).

Affection (upendo) sio kujamiana, wanaume wengi wanaamini kuwa wanapomaliza kujamiana kuwa mwanamke ana furaha sio lazima iwe kweli kwa sababu mara nyingi na wanawake wengi uwa na hasira pale waume zao wakisha mwaga (their husband climaxes) kwa sababu wengi wao uwa wanakuwa hawajaridhika.

Mwanamke ana hitaji affection (upendo) kuliko kujamiana kama gari linavyo hitaji mafuta,mwanamke anahitaji affection (upendo).

Affection sio sex(kujamiana), kujamiana na mke wako sio kiashirio cha affection (upendo) ayo ni matokeo tu ya kitu.

Kuonesha affection (upendo) inakubidi ufanye kitu kwa mtu ambacho kitaleta matokeo kwenye affection(upendo). Ndo maana mwanamke anahitaji kuambiwa kila siku na mumewe kuwa nakupenda na hii ni kila siku hata mara kumi kwa siku mwambie nakupenda kwani anahitaji hicho kama affection(upendo).

Affection(upendo) ni kumpelekea maua mkeo bila hata sababu.

Affection(upendo) ni kushikana mikono mbele za watu na kutembea sehemu za masoko.

Affection (upendo) ni kumwambia mkeo njoo ukae karibu yangu tena wakati nikiendesha gari.

Affection (upendo) ni kumpeleka mkeo kula chakula cha mchana kwenye mazingira tofauti bila hata sababu.

Affection(upendo) sio kitu cha gharama ni kitendo cha kuwaza tu kitu kizuri cha kumfanyia mkeo.

Wanaume wenzangu nisikilizeni kwa makini, mnakunywa mafuta jibu ni hapana, je gari lako linahitaji mafuta jibu ni ndio basi mnajua wake zenu wanacho hitaji, hauhitaji kufikiri au kuhisi au uwe na sababu kubwa ya kusimama ili ununue maua lakini unafanya kwa sababu hicho ndicho gari linachohitaji

Affection (upendo) uanzia asubuhi, kucheza kitandani, kumbusu mkeo na kumuita honey hata kumwambia maneno mazuri kuwa kuna wanawake wengi duniani lakini hawakukaribii wewe kwa uzuri.Unaenda jikoni unatengeneza kifungua kinywa kidogo kwa ajili yake hiyo ndo affection(upendo) na kumpelekea hicho kifungua kinywa chumbani kabla ya yeye kuamka na akiamka unamwambia honey kwa miaka yote umenipikia hii ni kwaajili yako hiyo ndo affection (upendo) wanahitaji.

Mpeleke kwenye gari na umfungulie mlango hiyo ndo affection(upendo)

Affection(upendo) ni kumbusu mkeo kabla hajaenda kazini au kabla ya wewe kuondoka kwenda kazini.

Affection (upendo) ni kumpigia mkeo kila baada ya dakika kumi na kumwambia nimekupigia ili nkwambie tu nakupenda alafu kata simu hautaji kuongea saaaana inachukua sekunde tatu tu.. "A woman does not want that, she needs that"..It's a need
Neno EFECTION umelitaja mara 19 na neno UPENDO umelitaja mara 18.
Duuu....
 
Back
Top Bottom