Quinn
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 473
- 1,180
Kitu cha kwanza na cha pekee mwanamke anachohitaji ni affection (upendo) ni muhimu sana, mwanamke haitaji kujamiani kama anavyohitaji affection (upendo).
Affection (upendo) sio kujamiana, wanaume wengi wanaamini kuwa wanapomaliza kujamiana kuwa mwanamke ana furaha sio lazima iwe kweli kwa sababu mara nyingi na wanawake wengi uwa na hasira pale waume zao wakisha mwaga (their husband climaxes) kwa sababu wengi wao uwa wanakuwa hawajaridhika.
Mwanamke ana hitaji affection (upendo) kuliko kujamiana kama gari linavyo hitaji mafuta,mwanamke anahitaji affection (upendo).
Affection sio sex(kujamiana), kujamiana na mke wako sio kiashirio cha affection (upendo) ayo ni matokeo tu ya kitu.
Kuonesha affection (upendo) inakubidi ufanye kitu kwa mtu ambacho kitaleta matokeo kwenye affection(upendo). Ndo maana mwanamke anahitaji kuambiwa kila siku na mumewe kuwa nakupenda na hii ni kila siku hata mara kumi kwa siku mwambie nakupenda kwani anahitaji hicho kama affection(upendo).
Affection(upendo) ni kumpelekea maua mkeo bila hata sababu.
Affection(upendo) ni kushikana mikono mbele za watu na kutembea sehemu za masoko.
Affection (upendo) ni kumwambia mkeo njoo ukae karibu yangu tena wakati nikiendesha gari.
Affection (upendo) ni kumpeleka mkeo kula chakula cha mchana kwenye mazingira tofauti bila hata sababu.
Affection(upendo) sio kitu cha gharama ni kitendo cha kuwaza tu kitu kizuri cha kumfanyia mkeo.
Wanaume wenzangu nisikilizeni kwa makini, mnakunywa mafuta jibu ni hapana, je gari lako linahitaji mafuta jibu ni ndio basi mnajua wake zenu wanacho hitaji, hauhitaji kufikiri au kuhisi au uwe na sababu kubwa ya kusimama ili ununue maua lakini unafanya kwa sababu hicho ndicho gari linachohitaji
Affection (upendo) uanzia asubuhi, kucheza kitandani, kumbusu mkeo na kumuita honey hata kumwambia maneno mazuri kuwa kuna wanawake wengi duniani lakini hawakukaribii wewe kwa uzuri.Unaenda jikoni unatengeneza kifungua kinywa kidogo kwa ajili yake hiyo ndo affection(upendo) na kumpelekea hicho kifungua kinywa chumbani kabla ya yeye kuamka na akiamka unamwambia honey kwa miaka yote umenipikia hii ni kwaajili yako hiyo ndo affection (upendo) wanahitaji.
Mpeleke kwenye gari na umfungulie mlango hiyo ndo affection(upendo)
Affection(upendo) ni kumbusu mkeo kabla hajaenda kazini au kabla ya wewe kuondoka kwenda kazini.
Affection (upendo) ni kumpigia mkeo kila baada ya dakika kumi na kumwambia nimekupigia ili nkwambie tu nakupenda alafu kata simu hautaji kuongea saaaana inachukua sekunde tatu tu.. "A woman does not want that, she needs that"..It's a need