muhala.jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 728
- 600
Habari wakuu naomb tusaidiane ku share experience actually nimeona tv katika mtandao wa JuMia online marketing. Aina ya eevol nchi 43 Ina future nyingi Sana nzuri na very affordable price.sasa naomb kujua ubora wa tv hizi Mana natak niuze TCL ninunue hio.